matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Viongozi wetu wa dini hapa Bongo, wanaamini kibongobongo zaidimnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa Mungu dhidi ya Corona.
Sisikii mafungu kama *mIkiwa watu wangu watajinyenyekesha na Kuomba... Nitaiponya nchi yao.
Hii kazi tufanye waumini?
Hakuna kiongozi wa dini hapa wote ni waganga njaa tu, yaani kiongozi wa dini anaangalia upepo wa mwanasiasa, na yeye ndio huko huko!!hata wanasayansi wetu ni wale wale tu, leo hii ukiwasikiliza ukalinganisha na kipindi kile cha jiwe ni aibu, na ndio wameleta hii sintofahamu kubwa kwa wananchi!!jana ulisema chanjo hizi zimeletwa na mabeberu kutuua, leo unasema tena eti hazina madhara kabisa, kwani tumezifanyia vipimo?!!japo ukweli unajulikana kwa wenye akili kuwa zile zilikuwa ni propaganda tu.Mtokambali wa TAG aliyempa Magu tuzo ya kuishinda Corona sijui kajificha wapi.
Uongo haudumu.
Umeongea ukweli mtupuHakuna kiongozi wa dini hapa wote ni waganga njaa tu, yaani kiongozi wa dini anaangalia upepo wa mwanasiasa, na yeye ndio huko huko!!hata wanasayansi wetu ni wale wale tu, leo hii ukiwasikiliza ukalinganisha na kipindi kile cha jiwe ni aibu, na ndio wameleta hii sintofahamu kubwa kwa wananchi!!jana ulisema chanjo hizi zimeletwa na mabeberu kutuua, leo unasema tena eti hazina madhara kabisa, kwani tumezifanyia vipimo?!!japo ukweli unajulikana kwa wenye akili kuwa zile zilikuwa ni propaganda tu.
Mbona mkiumwa mnaenda hospital hamwwndi kanisani? Mbona tunaskia askofu kalazwa hospital? Hakuna shida juu ya hilo hata Magu alifia hospital akipewa matibabu ya science ya mzungu. Science ni zao la ufahamu ambao Mungu kampa mwanadamumnakuwa neutral sana.