Lakini mkuu wangu tusiwalaumu sana hawa viongozi Wa dini mkuu wengi ni wachumia tumbo tuu mkuu.huu utawala Wa awamu hii ni Wa hatari haijawi kutokea .mkuu watu wanaishi kwa hofu kubwa sana,rejea wahubiri waliokuwa wakubwa hapa nchini jinsi walivyonyanyua mikono kwa matisho waliyopata.
Hebu angalia watu tumeogopa kuandamana,tunaandamana mioyoni.
Hebu cheki Uchaguzi umeisha,ccm walibandika mabango yao kwa nguvu mpaka kwenye milango ya watu.Uchaguzi umeisha lakkni watu wanahofu ya kuyabandua wanaogopa kupewa kesi.