Enlightening
Senior Member
- Oct 14, 2020
- 167
- 173
Wameona aibu nafsi zao
Bora wangeendelea kukaa kimya kuliko usaliti huu mkubwa! Hata kama ni njaa ila hii imezidi sana - ni aibu kubwa
Exactly Tanzania hatuna viongozi wa dini tuna wachawi tu na wanafiki walamba viatu vya wanasiasa wauaji ,watekaji ,wafungaji , waonezi, dhulumati , mafisadi , majiziKwa kweli viongozi wa dini wametukwaza saa. Ni Askofu Mwamakula na Bagonza tu waliosimamia ukweli na kukemea. Mwingine ni Askofu Mpemba. Hawa TEC, BAKWATA, CCT na SDA ni takataka tu. Wachumia tumbo na kuomba sadaka kila kukicha.
Kwamba dini zote ni za uongo halafu unanukuu maandiko ya DINI, sasa unatupa wakati mgumu kuelewa, tuamini maandiko ya dini au msimamo wako kwamba dini zote ni za uongo?Dini zote ni zauongo! binafsi huwa nawahurumia wale wanao panga foleni kwenda kutoa sadaka eti wakijua wanamtolea Mungu! Mwanzo wa kumjua Mungu ni kutumia akili.
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
16 Mtawatambua kwa matunda yao.
Daaa.mkuu.achakuniongezea.huzuni.maskini.nchiyngu.hiyoooo.mpka.rwaaaaaaaaandaLakini mkuu wangu tusiwalaumu sana hawa viongozi Wa dini mkuu wengi ni wachumia tumbo tuu mkuu.huu utawala Wa awamu hii ni Wa hatari haijawi kutokea .mkuu watu wanaishi kwa hofu kubwa sana,rejea wahubiri waliokuwa wakubwa hapa nchini jinsi walivyonyanyua mikono kwa matisho waliyopata.
Hebu angalia watu tumeogopa kuandamana,tunaandamana mioyoni.
Hebu cheki Uchaguzi umeisha,ccm walibandika mabango yao kwa nguvu mpaka kwenye milango ya watu.Uchaguzi umeisha lakkni watu wanahofu ya kuyabandua wanaogopa kupewa kesi.
Usimsahau.na.shekhe.Ponda.mkuuKwa kweli viongozi wa dini wametukwaza saa. Ni Askofu Mwamakula na Bagonza tu waliosimamia ukweli na kukemea. Mwingine ni Askofu Mpemba. Hawa TEC, BAKWATA, CCT na SDA ni takataka tu. Wachumia tumbo na kuomba sadaka kila kukicha.
HahahahaahahahahaTena nasubiri jumapili kama kawaida yake, utamwona kaibukia kanisani, mpole mnyenyekevu, na watampa kapu la sadaka alishike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walah ndio maana watu wanaacha kwenda makanisani
Viongozi wengi wa dini wanafiki
Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
Yani kila ninapomuona huyu mtu anajiita Shekhe nazidi kupata Sumu
Duh.. ibilisi amekalia watu vichwaniccm walibandika mabango yao kwa nguvu mpaka kwenye milango ya watu.Uchaguzi umeisha lakkni watu wanahofu ya kuyabandua wanaogopa kupewa kesi.