Viongozi wa Dini wa nchi hii laana ya Mungu haitawaacha milele. Mkatubu

Kwani hii nchi tuna viongozi wa dini!? Wengi wao ni viongozi wa matumbo yao tu
 
Yaani umeziba kwa nta masikio kiasi cha kutosikia matamko mbalimbali ya viongozi wa dini waadilifu uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

Au ulitaka matamko yao yalandane na matakwa yako, maoni yako au yenye kuunga mkono chama na wagombea wako unaowaunga mkono, ndiyo ukubali kuwa yametolewa?. Kama ungekuwa na masikio yanayosikia hata kauli zinazokinzana na mapenzi na matakwa yako binafsi, usingepost hayo!

Kumbuka tangu kuanza kwa siasa vya vyama vingi nchini, wapinzania wamekuwa wakishindwa katika chaguzi mbalimbali, na walikua wakikataa kuyatambua matokeo ya chaguzi hizo yaliyokuwa yanatangazwa na Tume za Uchaguzi kwa vioja vya kuibiwa kura, chaguzi kutokuwa huru na za haki ama visingizio vingine kama kukataliwa kwa mawakala wao kusimamia chaguzi... daima mapambio ni visingizio ni vile vile miaka yote ya uchaguzi!

Mpya zaidi ya mwaka mwaka huu ni pale walipodai kukamata gari lenye makasha ya karatasi za kupigia kura kule Kawe!

Nikimnukuu Msemaji wa CCM Hamphrey Polepole alipozungumzia kuhusu kioja hicho, alisema: "Wapinzani walidai kukamata makasha ya kura bandia kwenye gari. Cha kushangaza wapinzani hao badala ya kuzikabidhi kwa Mamlaka za kisheria kama ushahidi na kidhibiti, wakazichoma moto na mtuhumiwa walitemkamata walimwachia atokomee gizani. Toka lini ushahidi muhimu kama huo wauteketeze? Hiyo inadhihirisha kuwa ni wenyewe waliochapisha kura hizo bandia, na ni wenyewe waliozileta eneo hilo, na baadye kuzichoma moto ili kuficha ushahidi, wakijua kama wangezikabidhi kwenye mamlaka za kisheria uchunguzi wa kina ungewaumbua". UCHAGUZI UMESHAPITA TUACHE MAISHA MENGINE YAENDELEE!
 
Laana iwapate mara ya ngapi.. walishalaaniwa kitambo sana na kama unawategemea lazima upotee
 
Kwa Kwani hujamsikia mwamakula na yule kwa huko ngara?
Au wewe ulitaka umsikie nani?
 
Ya kaisari wamemwachia kaisari!!! Kazi yao ni kutunza na kuhudumia roho za watu!! Kiongoz atakae ingilia siasa yupo nje ya kile anachokitumikia,,, hakuna cha tamko wala nini!! Wapo kuiombea Tanzania,, wapo kwa ajiri ya kuwaombea watanzania... Na sio kutoa matamko kwa watawala.

Mkihitaji msaada wa kiroho mfuate...!!

Ila kiongoz wa dini anaeingilia siasa cjui na kutoa matamko huyo ni mganga njaa tu na yeye!!!!
 
Jaribu kuvaa viatu vyao mkuu.

Lau kama wangekua hawafanyi vizuri kwenye mambo ya dini yao haswa ya kiroho ungewahukumu. Lakini mambo ya siasa yana mengi ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi hao ni pamoja na Mh Mbunge wa Kawe......😂😂😂 unategemea nini...Songombingo lote lililotokea Kawe anaona ni sawa na anajiita mtumishi wa Mungu na ni Mbunge mteule...inakatisha tamaa na hii imesababisha hadi kufikiria sana kama kweli haya makanisa yako kwa ajili ya Mungu wa mbinguni au ni biashara tu za eatu.

Siamini kama Mh Mbunge wa Kawe atakuja siku moja asimame kwenye Madhabahu na kuhubiria HAKI na AMANI....natamani niwepo nimuulize ni Haki ipi na Amani ipi....

Naomba Mungu wa Mbinguni anisamehe maana huwa naogopa sana kuwasema wapakwa mafuta wa Bwana lakini kwa hapa...baba askofu ni BIG NO hapa umepoteza credibility ya kuhubiri Haki na Amani
 
"Wapinzani walidai kukamata makasha ya kura bandia kwenye gari. Cha kushangaza wapinzani hao badala ya kuzikabidhi kwa Mamlaka za kisheria kama ushahidi na kidhibiti, wakazichoma moto na mtuhumiwa walitemkamata walimwachia atokomee gizani. Toka lini ushahidi muhimu kama huo wauteketeze? Hiyo inadhihirisha kuwa ni wenyewe waliochapisha kura hizo bandia, na ni wenyewe waliozileta eneo hilo, na baadye kuzichoma moto ili kuficha ushahidi, wakijua kama wangezikabidhi kwenye mamlaka za kisheria uchunguzi wa kina ungewaumbua".
 
Vi Viongozi wa dini unaosema ndio walio omba corona ikatoweka lakini wale wa kwenu wanaopanda kwenye majukwaa wanapinga hata maombi wameshindwa vibaya na kuonekana hawana imani ya kutosha.
 
Wacahw
Exactly Tanzania hatuna viongozi wa dini tuna wachawi tu na wanafiki walamba viatu vya wanasiasa wauaji ,watekaji ,wafungaji , waonezi, dhulumati , mafisadi , majiziView attachment 1619197
Wachawi ni bagonza, mwamakula, katimba, na ponda. Na munga, hao ndo watumishi wasiokuwa na utimilifu wa imani,
Hao ni sawa na wahuni tu wa kitaa na wenye njaa zao na wasiopend kufanya kazi ila wanataka kushiba.
Mungu hapendi hayo.
 
Awamu hii imetusaidia kuwajua watumishi wa Mungu na mafarisayo pia
 
Vi
Viongozi wa dini unaosema ndio walio omba corona ikatoweka lakini wale wa kwenu wanaopanda kwenye majukwaa wanapinga hata maombi wameshindwa vibaya na kuonekana hawana imani ya kutosha.
Chukua taadhari endelea kuwaamini wanasiasa
 
Umemaliza yote
 
Wacahw
Wachawi ni bagonza, mwamakula, katimba, na ponda. Na munga, hao ndo watumishi wasiokuwa na utimilifu wa imani,
Hao ni sawa na wahuni tu wa kitaa na wenye njaa zao na wasiopend kufanya kazi ila wanataka kushiba.
Mungu hapendi hayo.
Hawa si sehemu ya wanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…