Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidandie katiba kwa mbele, by any means necessary kuna maeneo katiba lazima ifanyiwe marekebisho, marekebisho wanayoyataka kenya si sawa na wanayo yataka tanzaniaHii hatari tuiepuke, wenzetu wamenogewa, wanataka kujiongezea muda wa urais na ubunge kwa miaka saba!
Idumu katiba ya 1977.
View attachment 3134830
Huo uongo ni wakumdanganya nani?au ni ili tusifikirie katiba yetu mpya iliyo porwa na wachache kwa manufaa yao?Hii hatari tuiepuke, wenzetu wamenogewa, wanataka kujiongezea muda wa urais na ubunge kwa miaka saba!
Idumu katiba ya 1977.
View attachment 3134830
Cowards live longerKuogopa mabadikiko yoyote either yenye harufu ya risk ama mazuri kuanzia ngazi ya familia ni dalili ya ufukara, yaani umaskini wa fikra ambao huzaa laana. Unakuta ukoo mzima kuanzia babu hadi mjukuu hamna mwenye afadhali woote mkijikuna mnatoka unga.
Sio kweli mashujaa wanaokufa wanaishi baada ya kufa kwao,ila waoga wafao hufa daima.Cowards live longer
Dunia hii hii mfano wa akina Castro,Cheguevara na orodha ndeeefu wa taaluma wa humu wataongezea.Wanaishi nchi gani?
Basi kwenye hiyo orodha nikuongeze na wewe.Inaelekea saa 11 na dakika 30 jioni, amka sasa, naona ndoto zimekolea