Viongozi wa Dini wanawake mbona hamsemi kuhusu hali ya siasa nchini

Viongozi wa Dini wanawake mbona hamsemi kuhusu hali ya siasa nchini

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
=====
Wakuu

viongozi wetu wa Dini wamekuwa wakizungumzia hali ya siasa nchini lakini ni hawa viongozi wa jinsia ya Wanaume (ME).

Wamekuwa wakiikosoa serikali na kuitaka kuwasikiliza wananchi juu ya mabadiliko hawa akina Gwajima wasema mengi kuhusu utekaji sasa vipi kuhusu viongozi wa dini ambao ni wanawake mbon wapo kimya au wanaogopa kwa kuwa mwenye nchi ni mwanamke?

Kuna viongozi wa dini ambao ni wanawake kama wachugaji au wakihudumu kama nafasi mbalimbali hapa nchini kuna huyu mchungaji Martha Shekighenda yupo makanisa ya Kipentekoste,mchungaji Judith Mwakalonge Huyu anaendesha kabisa mafunzo ya uongozi kwa vijana na wengine wengi wapo nyuma sana kwenye suala la siasa.

Nimekuja wadau nipate mitazamo yenu ni suala la maadili linawabana au ni wao wenyewe tu hawataki kusema jambo lolote kuhusu yanayoendelea nchini kwetu?
 
Back
Top Bottom