Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wakati shujaa wa Tanganyika, Chuma Cha Mjerumani akiwa Hoi Bin Taaban[POMBE] 2015-21 watanganyika waliohoji walitishiwa kufunguliwa kesi, kipindi kilikuwa zama za giza, watu waliogpa hata watsup calls.
Walihoji na wengine walisema pace maker imekata moto, walijitokeza akina Waziri namba moja na Mkuu wa mkoa wa Mbeya bwana Chala na kujinasibu ameongea na Joni na kwambaametuasa tuchape kazi.
Alipofariki ndio wakaanza kuzungusha mwili nchi nzima[kuutesa mwili wa J] na kutulazimisha tuombee mwili,hizi ni ibada za sanamu na uislamu, ukristo unakataza hizi ibada:
Sasa, huyu jamaawa Jana aliyeibukia Kanisani, anasema anatushukuru kwa sala, kwani alituambia kuwa anaumwa? Anasema alikuwa nje kikazi, hiyo kazi sisi si ndio waajiri wake? anafanyaje kazi ambayo sisi hatujaridhia?
Kama anaweza kufanya hivi, je si kiburi? Marekani rasi wao akienda meza ya mazungumzo be it Doha ama popote wananchi wanajulishwa, Obama alikuwa na ziara za kushtukiza huko Iraq na iikuwa akishafika inatangazwa, sasa kila kitu siri kama vile sijui mtu anaogopa kulogwa ama la!
Kikwete alitiiwa tezi dume na akatujuza, mkapa alipata matibabu akatujuza, ila hawa wa sasa hawataki kuhijiwa!
AZIMIO: Makasisi, Mashekhe, Manabii, Wachungaji, Prophets tunawaagiza hatutaki segment ya kuombea viongozi wa serikali maana hawataki sala zetu, na afya zao ni kama hazituhusu!
Tunakuagizeni , hatutaki ibada za wafu, sisi huku chini tutaendelea kuombena wenyewe na kufarijiana, tutaombea wagonjwa na kwapa misaada ninyi nendeni kwenye misiba mkaombee maiti.