Viongozi wa Dini ya Kiislamu wapiga marufuku DSTV Kenya

Viongozi wa Dini ya Kiislamu wapiga marufuku DSTV Kenya

Status
Not open for further replies.
NA KAMA NITAENDELEA KUANGALIA ,NITASHTAKIWA KWA SHERIA GANI,?NDIYO HAYO HAYO,ambayo tunayailia ya mahakama ya KADHI,HIVI kwani watu wote wana dini?hata kama wengi wa wakazi wa hapo ni waislamu kwanini,usiache kuangalia wewe ambaye hupendi?
lol kaazi kweli kweli

kwani lazima wafunge madishi ya dstv wasifunge na wanaotaka kutumia wafanye hivyo sometime hawa viongozi sijui wanafikiria nini!!!!!!
 
NA KAMA NITAENDELEA KUANGALIA ,NITASHTAKIWA KWA SHERIA GANI,?NDIYO HAYO HAYO,ambayo tunayailia ya mahakama ya KADHI,HIVI kwani watu wote wana dini?hata kama wengi wa wakazi wa hapo ni waislamu kwanini,usiache kuangalia wewe ambaye hupendi?
lol kaazi kweli kweli

Mahakama ya kadhi inahusiana na nini kuhusu hili!?
Au umeropoka tu! Hujui hata kazi ya mahakama ya kadhi!

Kitu gani cha maana ambacho DSTV wanaonyesha! Zaidi ya picha za kishenzi
Ambazo wewe na mzazi wako au mwanao hamuwezi kukaa pamoja mkatizama!
Jamii zinaporomoka kila siku na hakuna wa kupinga!
Na wakitokea waislamu kupinga!
Midomo.inakuwa mireeeefu!
 
The laws of allah

We ni katika wale wanakondoo wasiojijua!

Most of the time you use makalio to think!!
Teh teh teh teh!

And unfortunately you are very lonely to get advice! !
Someone told me great deal about you and I felt really sorry!
Na kwa life style yako basi utakufa bila kuiona haki!

Maskini ya mungu! Fee nnari jahannam!

What more can i say! Its like talking to a ghost!!
 
Uislam sio UGAIDI na Ukristo sio UKAFIRI...ila,Waislam na Wakristo MAGAIDI na MAKAFIRI wapo!
 
Hawa Jamaa ni Taabu sana Spain walifukuzwa kabisa.... Ndo Tabu
 
Hawa Jamaa ni Taabu sana Spain walifukuzwa kabisa.... Ndo Tabu

Anagalia hii misukule mingine!

We huna habari waungwana wananunua makanisa spain na kuyageuza miskiti kama hakuna serikali!!

Ugalatia miguu juu! Wanakondoo kazi waliobakiza ni kutafunana tu!
Sasa tukishamaliza huku USA na Europe, huko mtasilimu wenyewe tu!

Manake mkikajifanya wajanja tunazuia misaada!
Teh teh teh teh!
We Mlaleo jiandae kutahiriwa na maalim faby
.
Cc wabara THE BIG SHOW Boko haram
 
Last edited by a moderator:
Kamanda umegonga ikulu..Hawa wababu wanataka kurudisha watu waishi karne za zama za mawe..Wewe kaa unaona DSTV haina maadili ya kisilamu acha ku-subscribe wewe na ukoo wako badala ya kutaka kueka moral grounds kwa wenzako weka kwako kwanza..ebo. Hawa Wasomali ni tabu tupu kwa kweli.
Wewe unae jiita Abdulhalim ni nani
Aliekwambia hao ni wasomali? Kwa taarifa yako hao ni wa Kenya. Au wasomali wamekufanya vibaya (0715)
 
Sasa, hivi DSTV ndo wanaowafundisha kutokwenda shule au kuvaa suruali-kaptula na kujilipua "just to marry 72 virgins!"?

Sawa yao ni nchi ya Angola ambayo imeamua kupiga marufuku vikundi vya fujo kama hiki. Bomoa misikiti fugia nguruwe humo tule kitimoto siye!
 
Wewe unae jiita Abdulhalim ni nani
Aliekwambia hao ni wasomali? Kwa taarifa yako hao ni wa Kenya. Au wasomali wamekufanya vibaya (0715)
na wewe unaejiita map.u.mbu nani aliekwambia wasomali wanapatikana somali na somaliland peke yake?
haidhuru pia utakua punga maana ni muhali mja watu wameketi wanazungumzia mambo ya dstv yeye akachomekea mambo ambayo hata haya mafungamano..vp tigoyo yakuwasha? paka maji ya betri wadudu wanaokunyenvua watatulia/
 
Baadhi ya mambo huwa siyaelewi! Mtoto wangu anapenda na anaangalia sana cartoon na Tv games. Mitihani hii ya kufunga mwaka kawa wa kwanza kati ya wanafunzi 35 darasani mwao! Na ni shule matata si kama kawaongoza vilaza! Mimi mwenyewe utotoni nilikuwa napenda sana video games na cartoons za magazeti na za Tv na siku zote kuanzia primary,o level mpaka A level,nilikuwa mtu kati ya wa kwanza mpaka wa kumi darasani na si zaidi ya hapo!.Nadhani vipindi vizuri vya Tv,cartoon na Tv games or Playstation vikiangaliwa kwa ratiba kwa watoto na wakubwa,huwa vinaelimisha na vinapanua uelewa kwa kiasi kikubwa.
 
Yakhe mombasa wesha kuharibu , mtoto si rizki wewe!!
 
Hapo umegonga kweli, hata mie mwanangu huwa namruhusu kutizama vipindi anavyovipenda kwa ratiba na siku zote yeye hua namba moja darasani. Vikundi vya dini havifai kutekeleza sheria, kila mtu anaustarabu wake, mfano mimi sipendi mpira, lakini sioni kero wenzangu wanapotizama mechi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom