Viongozi wa Dini ya Kiislamu wapiga marufuku DSTV Kenya

Status
Not open for further replies.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Now Supkem ‘bans’ DStv in North Eastern

By NATION Correspondent
Posted Monday, April 26 2010 at 22:31

DStv has been banned in North Eastern Province by the Supreme Council of Kenya Muslims.

Also outlawed are video dens, blamed for eroding moral values among the youth and causing poor academic performance.

The Supkem Mandera branch shut down dozens of entertainment spots that air popular video shows and football, “in support of Islamic teachings.”

The region is predominantly Muslim and the religious leaders said Islamic teachings had to be followed to the letter.

The move was quickly supported by the Supkem head office, which promised to extend the ban to other towns in the province.

Statement

MultiChoice Kenya, which operates the DStv channels, would not comment immediately.

“We are still monitoring development and will release a statement tomorrow (Tuesday),” said public relations manager Stella Ondimu.

Information minister Mr Samuel Phogisio criticised the move by the Sheikhs.

He said that Kenyans subscribe to the service mainly because of the local and international football games broadcast by the station.

The minister pointed out that the Constitution protects Kenyans’ right to assemble. The ban, he said was a violation of such rights.

“Kenyans in Mandera also have a right to what they view,” he said.

According to him, the Islamic leaders do not have powers to ban the service.

DAILY NATION
 
Last edited by a moderator:
Walichokifanya hawa masheikh wa mandera Tanzania hufanywa most of the time na Mkuchika kila wanapoona habari fulani inatishia masilahi ya uwepo wao. Kama lengo ni kuzuia DSTV kwa sababu inaonesha picha za ngono basi wana sababu za kufanya hivyo na ilitakiwa DSTV wawe wana filter vipindi ambavyo haviendani na maadili ya sehemu wanazofanyia biashara. Kama ku-block porn related progrmmes. Ila kama hawa jamaa wamefanya hivyo kwa sababu za kutaka jamii isiangalie programme kama mipira etc. watakuwa wamefanya makosa makubwa sana. Ila kinachotakiwa hapa ni serikali kukaa na hawa Masheikh kukubaliana jinsi ya kundesha vipindi bila kuaribu maadili ya watoto na hasa kuonesha ngono kwenye TV. Kazi ya watumishi wa mungu ni kushauri ila siyo ku-enforce hiyo ni kazi ya serikali na sheria zilizopo
 
NA KAMA NITAENDELEA KUANGALIA ,NITASHTAKIWA KWA SHERIA GANI,?NDIYO HAYO HAYO,ambayo tunayailia ya mahakama ya KADHI,HIVI kwani watu wote wana dini?hata kama wengi wa wakazi wa hapo ni waislamu kwanini,usiache kuangalia wewe ambaye hupendi?
lol kaazi kweli kweli
 
Nakuunga mkono mkuu,umezungumza kitu cha maana. Kinachotakiwa ni serikali ya Kenya kukutana na viongozi wa kiislam na DSTV kutatua tatizo hilo.
 
NA KAMA NITAENDELEA KUANGALIA ,NITASHTAKIWA KWA SHERIA GANI,?NDIYO HAYO HAYO,ambayo tunayailia ya mahakama ya KADHI,HIVI kwani watu wote wana dini?hata kama wengi wa wakazi wa hapo ni waislamu kwanini,usiache kuangalia wewe ambaye hupendi?
lol kaazi kweli kweli
Kamanda umegonga ikulu..Hawa wababu wanataka kurudisha watu waishi karne za zama za mawe..Wewe kaa unaona DSTV haina maadili ya kisilamu acha ku-subscribe wewe na ukoo wako badala ya kutaka kueka moral grounds kwa wenzako weka kwako kwanza..ebo. Hawa Wasomali ni tabu tupu kwa kweli.
 
Hii mijamaa inafikiri kwamba hizo Sharia zinamhusu kila mtu! Kama unaona mpira haukufai kuangalia kwa nini usiache mwenzako aangalie kwenye TV yake wakati wewe umezima ya kwako au umeweka channel nyingine unayohitaji? Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
 
tatizo kubwa la watu wengi hawajui SOMO LA HUMAN RIGHTS.
 
Hongera ma-Sheikh kwa kulinda Moral Value duniani, wakati wengine wako busy na ufisadi siasa na ushoga, nyie endeleeni kulinda maadili. Brave
 
Maadili according to who? Wanakomalia mavazi kisha wanafuga mapepo, kuua binadamu wasio na hatia kwa ugaidi na kugombania sadaka misikitini!
 
Masheikh wanalinda maadili according to lacal community value, mavazi pia nimoja kati ya maadili na bila shaka hakuna sheikh yoyote alie muuwa binadau asie na hatia kwa mujibu wa Islam hiyo ni Haramu. Kama unamaanisha Vita za Palestina Iraqi Afghan this is another Issue/fungua theread.

Society yoyote lazima iwe na Insitituation ya ku-guide na kulinda value ya watu wake na hiki ndiyo exactely Mashekh wanacho kifanya

Bora wanao gombania sadaka halali misikitini kuliko wanaokumbatia mafisadi makanisani na kuwalawiti na kuwabaka watotot ! Laaanakum
 
kama mtu hupendi kuangalia vichupi kwa nini uhudhulie mashindano y a umiss?
hawa watu vipi mbona hawatumii ilimu yao kuangalia mambo?
kila jazba tu, sisapoti kuonesha picha hizo, lakini kama anaona zinamfaa, kwa mujibu
wa imani yake basi mwacheni, yupo mtu aona tofauti kati ya siku na siku,
mwingine aona kuwa zote sawa, nani wa kumhukumu mwenziye?
 
Masheikh wanalinda maadili according to lacal community value, mavazi pia nimoja kati ya maadili na bila shaka hakuna sheikh yoyote alie muuwa binadau asie na hatia kwa mujibu wa Islam hiyo ni Haramu. Kama unamaanisha Vita za Palestina Iraqi Afghan this is another Issue/fungua theread.

Society yoyote lazima iwe na Insitituation ya ku-guide na kulinda value ya watu wake na hiki ndiyo exactely Mashekh wanacho kifanya

Bora wanao gombania sadaka halali misikitini kuliko wanaokumbatia mafisadi makanisani na kuwalawiti na kuwabaka watotot ! Laaanakum

It's good you feel this way mkuu. Sasa nchi kama za Ulaya zikiban baadhi ya mavazi na baadhi ya minara kujengwa natumai hauta lalamika kwa sababu wanalinda morals zao. Nasema hivi maana wengine hamkawii kuwa na double standards. I'm just saying...
 
aliyeandika habari ii hajui kua channel kama dstv zina maadili isipokua watumiaji ndio wanashindwa kufata maadili kwa mfano kila movie au kipindi kinachoonyeshwa na dstv kinaandika umri wa mtazamaji uweje, huwezi amka tu na kusema hazifai kuangaliwa! pili zile ni channel za kulipia je kama hutaki si usinunue izo channel waache wengine waangalie au we ndio una akili kuwaamulia wengine waishije, pilipili iko shamba we unakuwashia nini?
 
..Well stated.
 
It's good you feel this way mkuu. Sasa nchi kama za Ulaya zikiban baadhi ya mavazi na baadhi ya minara kujengwa natumai hauta lalamika kwa sababu wanalinda morals zao. Nasema hivi maana wengine hamkawii kuwa na double standards. I'm just saying...

and i love yu for this!!ishi maisha yako kwa tamaduni yako(binafsi)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom