GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia.
Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza viongozi wote wa dini (zote) kuanzia leo (sasa) himizeni waumini wenu wote kufanya ibada kubwa na maalum za kutubu kwa Mwenyezi Mungu, kumuomba radhi kama kuna mahala tumemkosea na tujinyenyekeze kwake, kumuomba atuletee mvua ya baraka ili mito, maziwa na mabwawa yajae, mashamba yastawi, wakulima wapande vyakula vingi na wavune vya kutosha na maji salama yapatikane Tanzania nzima.
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhania!