Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Nipigie mstari sio?Masikio. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipigie mstari sio?Masikio. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wee mtu kwan nani hafi? Au kifo kinakimbilika?cocastic cocastic anajaribu kufuata nyendo zake. Et kuziba pengo hahaha.
Mwisho wa warumi ulikuwa mbaya sana, maana watu wote walimkimbia akabaki peke yake.
Alikufa kifo Cha mateso n maumivu sana.
Hata kunyoosha pia.Nipigie mstari sio?
YoteKheeeh sio Gay tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TawileHaikuhusu.
Maisha ni yako na una uhuru wa kufanya chochote Ikiwa tu unaishi peke yako huko jangwa, basi uhuru wako hauna kikomo. Unaweza kufanya chochote unachopenda, wakati wowote unapopenda na hakuna mtu atayekuziaKhaaaah yaan maisha yangu mie, afu watu wafaidike?
Yaan niishi maisha ya kuwafaidisha watu? Seriously??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watu mmevurugwaa wallah. Khaaah
Hii picha duka
Una delusiona disorderl wewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cnaaa, woiiiiiih
Sasa shougaa angu km wee ndoto yako ni muarabu, unadhan kila mtu? Km unababaika na hao watu ni wee,
Afu mbna uko bitter sana? Unatafuta umaarufu kupitia mie? Huwa sitoi kiki kwa watu samahani kaa kwa codes shost, kukosa mabasha hasira usiniletee mie, pambana na nyota yako bibi wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na badooo nitakutesa sanaaa.