Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Hatari kubwa!
 
 
Vipi, wameahirisha?
 
Zile mbwembwe zenu za zamani za kusema Mwenyekiti Mbowe ataongea na Taifa sasa kwishney.... Chali ,,,,,kwisha kabisa,,,,,,hoii bin taaban.
 
Swala hapa ni uhalali wa wao kuwepo

Swala hapa ni uhalali wa kisheria kwa wao kuteuliwa na time siyo madhara kwa chadema
Mea culpa, mea culpa, mea maxima culpa. Nilikosea. Nilikuwa nimemwamini sana Mdee. Sasa najua inawezekana ni wa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…