Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.

Wote Mnakaribishwa.
swala siyo matamko tu, tunataka na hatua za kisheria dhidi ya tume, kama kweli uteuzi huo ni wa kughushi. Haiwekani nchi kuwa na taasisi kubwa kama na muhimu kuwa ya kughushi, hii inanipa mashaka kama ni kweli chadema hawakuandika barua kwenda Nec, uongozi wote uliotokana na matokeo yaliyotangazwa na tume ni ya kughushi na siyo kwa uhalali.
 
Hasara ambazo zingetokea iwapo CHADEMA haingeteua wabunge wa viti maalumu ni pamoja na hizi:
  • CCM, kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake TANU, kingeendelea kuwa chama pekee (essentially) ndani ya bunge. Madhara yake makubwa ni kwamba hakungekuwepo mtu kama Mdee wa kuzungumzia ukweli ni upi na uwongo ni upi huku akiwa na kinga ya bunge.
  • CHADEMA kingekosa mahali pa kuzungumza huku kikiwa na kinga ya bunge. Watanzania hawana uhuru wa kutoa maoni yao nje ya bunge. Unamkumbuka yule kijana aliyesema “Rais kitu gani bwana?” na hilo likatosha ahukumiwe kifungo cha miezi sita? Ndani ya bunge kuna kinga, mbunge anaweza kusema, bungeni, bila kukamatwa na polisi. Sana sana anaweza kukandamizwa na Ndungai, lakini siyo kukamatwa polisi.
  • Wabunge walioteuliwa wangekosa fedha za mshahara wa mbunge. Huo umasikini ungewanyima nguvu kuendelea kupigana. Ubunge ni aina ya ajira pia.
  • CHADEMA kingeshindwa kusikika na hivyo kufifia. Kipindi hiki cha vyama kutofanya mikutano mbali na sehemu za wabunge na kipindi cha uchaguzi, chama kisichokuwa na wabunge lazima kififie sana.
Ni sahihi kwa CHADEMA kuteua wabunge kina mama. Hawangefanikisha lolote kwa kukaa tu nje. They will now fight from inside.

Wale ambao lengo ni kushambulia CHADEMA, wamepata pa kujishikiza kwenye jambo hili, na siyo kwamba wana principles. Principles gani wakati watu wenyewe ni wale wale wa Lumumba?

It's okay CHADEMA, Mdee na wenzako mkafanye kweli ndani ya mjengo. Anzeni kwa kupigia kelele katiba muflisi tuliyo nayo.
 
Ndugu zangu Watanzania, Jana Tanzania kwa mara nyingine tena tumeshtushwa Sana kushuhudia tukio la ghafla Sana ambalo hatukulitarajia kuwa lingetokea na hususani kwa wakati kama huu ambao bado wapo kwenye tafakuri kwa kilichotokea Oktoba 28 !!! Tukiwa bado kabisa hatuamini kilichotokea Oktoba hiyo 28 , Jana Watanzania tumebaki vinywa wazi pale tuliposhuhudia Waliokuwa Wanawake Makomandoo ambao Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), kilikuwa kinawategemea Sana Katika kufikia Mabadiliko ya kweli kwenye Taifa hili, wakiapishwa na kuwa rasmi Wabunge!

Je, CHADEMA kwa Msingi huo, mnamaanisha kwamba Uchaguzi haukuwa na dosara na hivyo mnakubaliana moja kwa moja na Tume ya Uchaguzi ilitenda haki !? Sasa Malalamiko yenu mliyoyapeleka Umoja wa Mataifa na sasa tunataarifiwa kwamba tayari Kesi imefunguliwa katika Mahakama ya ICC The Huage, Je, Malalamiko yenu ni nini sasa !? Mbowe jitokeze ulipo haraka uzungumze na Watanzania kuhusiana na hili tukio lililotokea Jana hapo Dodoma!
 
Akijitokeza nistue.
 
Ndugu zangu Watanzania, Jana Tanzania kwa mara nyingine tena tumeshtushwa Sana kushuhudia tukio la ghafla Sana ambalo hatukulitarajia kuwa lingetokea na hususani kwa wakati kama huu ambao bado wapo kwenye tafakuri kwa kilichotokea October 28 !!! Tukiwa bado kabisa hatuamini kilichotokea October hiyo 28 , Jana Watanzania tumebaki vinywa wazi pale tuliposhuhudia Waliokuwa Wanawake Makomandoo ambao Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ), kilikuwa kinawategemea Sana Katika kufikia Mabadiliko ya kweli kwenye Taifa hili, wakiapishwa na kuwa rasmi Wabunge!

Polepole na Mashinji wanasemaje?
 
Mbowe ni master plan atawamaliza hao malaya wa kisiasa
 
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]
 
Hiyo ndiyo ofisi huogopwa na CCM mpaka kukesha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji uovu mateso yote na sasa wametumia mabilioni kuwanunua wabunge wa kike, Sasa jiulize je? Chadema wangekuwa na ghorofa 5 ingekuaje? Si mngekuwa mkiwachinja kama kuku?
Mkuu unamanisha wanachama wa chadema ni Malaya Hadi wanunulike?
 
Swala hapa ni uhalali wa wao kuwepo
Hasara ambazo zingetokea iwapo CHADEMA haingeteua wabunge wa viti maalumu ni pamoja na hizi:
  • CCM, kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake TANU, kingeendelea kuwa chama pekee (essentially) ndani ya bunge. Madhara yake makubwa ni kwamba hakungekuwepo mtu kama Mdee wa kuzungumzia ukweli ni upi na uwongo ni upi huku akiwa na kinga ya bunge.
  • CHADEMA kingekosa mahali pa kuzungumza huku kikiwa na kinga ya bunge. Watanzania hawana uhuru wa kutoa maoni yao nje ya bunge. Unamkumbuka yule kijana aliyesema “Rais kitu gani bwana?” na hilo likatosha ahukumiwe kifungo cha miezi sita? Ndani ya bunge kuna kinga, mbunge anaweza kusema, bungeni, bila kukamatwa na polisi. Sana sana anaweza kukandamizwa na Ndungai, lakini siyo kukamatwa polisi.
  • Wabunge walioteuliwa wangekosa fedha za mshahara wa mbunge. Huo umasikini ungewanyima nguvu kuendelea kupigana. Ubunge ni aina ya ajira pia.
  • CHADEMA kingeshindwa kusikika na hivyo kufifia. Kipindi hiki cha vyama kutofanya mikutano mbali na sehemu za wabunge na kipindi cha uchaguzi, chama kisichokuwa na wabunge lazima kififie sana.
Ni sahihi kwa CHADEMA kuteua wabunge kina mama. Hawangefanikisha lolote kwa kukaa tu nje. They will now fight from inside.

Wale ambao lengo ni kushambulia CHADEMA, wamepata pa kujishikiza kwenye jambo hili, na siyo kwamba wana principles. Principles gani wakati watu wenyewe ni wale wale wa Lumumba?

It's okay CHADEMA, Mdee na wenzako mkafanye kweli ndani ya mjengo. Anzeni kwa kupigia kelele katiba muflisi tuliyo nayo.
Swala hapa ni uhalali wa kisheria kwa wao kuteuliwa na time siyo madhara kwa chadema
 
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.

Wote Mnakaribishwa.
Watuache tuendelee kuijenga nchi yetu bwana. Wanataka kutwambia nini? Watu wamegana sehemu za kukimbilia. Kuna wengine wamekimbilia kenya, wengine ulaya na wengine Bungeni.
 
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni.

Wote Mnakaribishwa.
hakutakuwa na jipya,uchaguzi umekwisha,bunge limetimia
 
Mngetulia kwanza mkajipanga, huku kukurupuka ili mradi kushindana na jamii ya mitandaoni ndo kutazidi kuwatoa relini.

Jana mzee wa Miga katoa tamko bila kuwasiliana na CHADEMA kujua kinachojiri.

Leo wanamama wameapishwa huku kiongozi wao akimtaja Mwenyekiti Mbowe. Kesho Makene au Mnyika atakurupuka kuongea, keshokutwa atakuja Mbowe kuwapongeza wanamama walioapishwa leo.

Wanachama mtabaki kila mtu ananena kwa lugha yake.. Yote kwa yote mnaowaamini wanasiasa endeleeni, Ila hatutachoka kuwaambia sio Lissu, Mbowe, Mnyika wala nani wote wachumia matumbo tu.
mbona kwa Membe hamkutulia mkajipanga??
 
Back
Top Bottom