Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

endapo mbowe kachukua pesa kauza wabunge huko Bungeni ajue chadema ndiyo bye bye hakuna mwenye Akili timamu atasalia chadema

Kamanda Minyoo meli inazama hii, Kamanda Kamanda Kamanda tufanye nini sasa? hatuna muda Kamanda, muda umekwisha Kamanda.
 
ukipata support ya watu unaunda
Sio support ya watu pekee.. Rasilimali fedha ndio tatizo kubwa zaidi.

Ndio maana mwisho wa siku wapinzani hukimbilia kuchukua makapi ya CCM ili yatie nguvu.

Hata CDM kuna wafanyabiashara wengi wakubwa wa kichagga ndio wamekuwa wakikifadhili kimya kimya miaka nenda miaka rudi. Hivi unadhani Mengi alikuwa hatoi fedha kwa mpwake Mbowe?? Na wengine wengi tu..
 
Haina haja kutusumbua kutupotezea muda. Wananchi tuachane na wanasiasa tutafute maisha yetu. Hawa wanasiasa ni timu moja wanakula pamoja wengine wanajamiiana na mahawara wameamua tu kushindana hadaharani kimaigizo tu. Maisha yako ni yako. Kalaghabhaho.
 
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa CHADEMA, Tumaini Makene, Chama hiko kitatoa ufafanuzi rasmi na tamko kuhusu wabubge wa viti maalum waliopa jana.

Mkutano huo na waandishi wa habari utaanza saa tano asubuhi.
 
Hapo umedanganya, maana tupo humu wote JF. I am aware of your JF existence, but I have no "love" with you😀😀😀😀😀😀, nakutani mwaya, ndiyo mambo ya JF!
Haki tena sikuwahinote existence yako hapa jf, ila sasa nimekjua kwamba kuna mtu anajiita Retired amesema unanichukia😂😂😂 pole mwaya maana kumchukia mtu asiyekujua nayo kazi kwelikweli
 
Haki tena sikuwahinote existence yako hapa jf, ila sasa nimekjua kwamba kuna mtu anajiita Retired amesema unanichukia😂😂😂 pole mwaya maana kumchukia mtu asiyekujua nayo kazi kwelikweli
kazi kweli kweli, Mama D humjui halafu unasema unamchukia.... si unajua humu watu hatujuani ila utani mwingi... enjoy your day my dear!
 
Pesa nyingi hutumika kupambana na hujuma kesi za kubambikiwa uonevu wa CCM mda mwingi hutumika kuokoa chama lakini endapo mbowe kachukua pesa kauza wabunge huko Bungeni ajue chadema ndiyo bye bye hakuna mwenye Akili timamu atasalia chadema
Karibu CCM wewe ndio huwa unajifanya kidomodomo Sanaaa humu kuitetea CHADEMA yamekufika ukome
 
kazi kweli kweli, Mama D humjui halafu unasema unamchukia.... si unajua humu watu hatujuani ila utani mwingi... enjoy your day my dear!
Sio kazi ndogo Yaani. Uwe na siku njema yenye baraka tele
 
Back
Top Bottom