Viongozi wa Kenya, wanaamini Wana majirani wengi na wameigeukia Uganda na Ethiopia kupata bidhaa zilizokuwa zinatoka Tanzania

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Kenya wamegawanyika Kama tulivyogawanyika Watanzania, viongozi wao wanaamini Wana majirani wengi na wameigeukia Uganda na Ethiopia kupata bidhaa zilizokuwa zinatoka TZ.

Wameigeukia pia Rwanda kuhusu bandari. Hali inawaumiza raia wao waliojiwekea soko Tanzania lakini itawaathiri sana wakulima wetu waliokuwa wanauza Kenya.

Nakuliana kimsingi na pande zote mbili kwamba malumbano yakisiasa yanayoendelea si kwa manufaa ya wananchi Bali Ni ujinga wa wanasiasa.

Hivi kuliko kufungiana mipaka, tungekaa wataalam wa afya wa Tanzania na Kenya tukaweka utaratibu wa kupima watu wetu wanapovuka mpaka tungepungukiwa Nini?

Badala tuinue uchumi wetu sisi tunazidi kuukandamiza kwa kutokutekeleza wajibu. Duniani kote mfumo uliopo nikupima na kujitenga sisi tunawaaminisha wananchi wetu kuwa hawapaswi kupima, sisi tuna kinga gani?

Endapo tunaamini Kuna agenda ya Siri kwanini tusiwachukue hao waliobainika kuwa na covid na kuwafanyia vipimo upya? Ikiwezekana kwanini hata tusitafute maabara huru kuondoa minongono isiyo na tija kwa wananchi?

Serikali tekelezeni wajibu wenu kwa kuchukua hatua zinazoshaurowa na wataalamu kote Duniani.
 
Tuendelee kujifukiza na kula malimao!

Mwanasia saizi ya mguu wake ni namba 7, alafu kiatu mnachomkabidhi namba 11,hapo mnatarajia nini?
 
Hatupangiwi
Kenya wamegawanyika Kama tulivyogawanyika Watanzania, viongozi wao wanaamini Wana majirani wengi na wameigeukia Uganda na Ethiopia kupata bidhaa zilizokuwa zinatoka TZ.

Wameigeukia pia Rwanda kuhusu bandari. Hali inawaumiza raia wao waliojiwekea soko Tanzania lakini itawaathiri sana wakulima wetu waliokuwa wanauza Kenya.

Nakuliana kimsingi na pande zote mbili kwamba malumbano yakisiasa yanayoendelea si kwa manufaa ya wananchi Bali Ni ujinga wa wanasiasa.

Hivi kuliko kufungiana mipaka, tungekaa wataalam wa afya wa Tanzania na Kenya tukaweka utaratibu wa kupima watu wetu wanapovuka mpaka tungepungukiwa Nini?

Badala tuinue uchumi wetu sisi tunazidi kuukandamiza kwa kutokutekeleza wajibu. Duniani kote mfumo uliopo nikupima na kujitenga sisi tunawaaminisha wananchi wetu kuwa hawapaswi kupima, sisi tuna kinga gani?

Endapo tunaamini Kuna agenda ya Siri kwanini tusiwachukue hao waliobainika kuwa na covid na kuwafanyia vipimo upya? Ikiwezekana kwanini hata tusitafute maabara huru kuondoa minongono isiyo na tija kwa wananchi?

Serikali tekelezeni wajibu wenu kwa kuchukua hatua zinazoshaurowa na wataalamu kote Duniani.

In God we Trust
 
Your leaders are only going to hurt your farmers. Meanwhile, Kenyan farmers could potentially reap huge from this "fall out". As you can see from the above tweet, TZ produce is RIDICULOUSLY CHEAP.
 
How much food is left in kenya? Can it last for like 2 seconds?
 
Hatupangiwi

In God we Trust
Unajitayarisha kwa ligi!
90485293_778486079221831_8919397105164877824_n.jpg
 
Your leaders are only going to hurt your farmers. Meanwhile, Kenyan farmers could potentially reap huge from this "fall out". As you can see from the above tweet, TZ produce is RIDICULOUSLY CHEAP.
Ungejua meli za kupeleka bidhaa comoro zimekua azitoshi,sasa hivi hadi bombadier zetu zinabeba nyanya na machungwa kupeleka comoro,90% ya comoro tunalisha sisi na kuvalisha sisi
 
Back
Top Bottom