kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kenya wamegawanyika Kama tulivyogawanyika Watanzania, viongozi wao wanaamini Wana majirani wengi na wameigeukia Uganda na Ethiopia kupata bidhaa zilizokuwa zinatoka TZ.
Wameigeukia pia Rwanda kuhusu bandari. Hali inawaumiza raia wao waliojiwekea soko Tanzania lakini itawaathiri sana wakulima wetu waliokuwa wanauza Kenya.
Nakuliana kimsingi na pande zote mbili kwamba malumbano yakisiasa yanayoendelea si kwa manufaa ya wananchi Bali Ni ujinga wa wanasiasa.
Hivi kuliko kufungiana mipaka, tungekaa wataalam wa afya wa Tanzania na Kenya tukaweka utaratibu wa kupima watu wetu wanapovuka mpaka tungepungukiwa Nini?
Badala tuinue uchumi wetu sisi tunazidi kuukandamiza kwa kutokutekeleza wajibu. Duniani kote mfumo uliopo nikupima na kujitenga sisi tunawaaminisha wananchi wetu kuwa hawapaswi kupima, sisi tuna kinga gani?
Endapo tunaamini Kuna agenda ya Siri kwanini tusiwachukue hao waliobainika kuwa na covid na kuwafanyia vipimo upya? Ikiwezekana kwanini hata tusitafute maabara huru kuondoa minongono isiyo na tija kwa wananchi?
Serikali tekelezeni wajibu wenu kwa kuchukua hatua zinazoshaurowa na wataalamu kote Duniani.