Kiongozi wa Taifa anaua, anateka anapoteza watu anaamua nani apumue na nani are halafu bado anathubutu kuwapa salamu za Mwaka Mpya na bado ana nguvu na jeuri mbele ya Wananchi wake kwa kuwaundia tume ya uchunguzi na tume ya Maridhiano na bado Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anawateulia