Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mkuu; Hebu tulia kwanza halafu utueleweshe vizuri. Samahani,Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono.
Utafiti mdogo unaonyesha ukitaka kutambua mtazamaji wa picha chafu kagua akaunti zao kwani wamewekewa ads za Facebuku akaunti kurahisisha watu wengi kuvutiwa na kujiunga.
Kama nawewe umeona matangazo haya kwenye facebuku ya mtu maarufu tusaidie kumwambia hii tabia ya sirini imekuja nuruni hivyo aache kabisa kutazama mambo machafu.
Ila pia inabidi tuyasome masharti ya huu mtandao kuona ni namna gani wanaweza kushtakiwa kwa kuruhusu picha za uchi kusambaa mitandaoni na hivyo kuathiri hata watoto wadogo.
Nilifikiri ni kwangu tu kumbe hili ni janga kwa wote Jana nimeondoa account yangu kwa muda kwanzaMimi nimeanza kuacha na account yangu ya facebook kwa sababu hiyo. Unakuta nafungua pages nimeandikiwa suggested for you. Nami siyataki. Nikaona ngoja niwaache na suggestions zao
Umesema kweli kabisaa.Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka changamoto ya akaunti nyingi za Facebuku kutumika kama platfom ya picha za ngono.