Viongozi Wa klabu ya Simba hawafai


ifike wakati,sheria za nchi zifanye kazi kwa viongozi kama hawa wa klabu ya simba, na hata mfumo mzima wa soka la tanzania ufumuliwe,


mambo haya ya viongozi wa babaishaji,ndio wanapelekea hata soka letu kua kichwa cha mwenda wazimu,


ikiwa hivi vilabu vitaacha ubabaishaji au kuongozwa na matapeli tapeli,,mpira wa tanzania utapiga hatua,
 
Mlimkataa Wambura mkamchagua Aveva kibaraka wa Hans Pope sasa mtajuta.Kuondoka kwa Okwi na Singano lazima kutakuwa na mkono wake,si anarudisha gharama zake bwana!

We mchonganishi. Wambura huyu huyu alishawahi kiongozi wa FAT alifanya nn?
 
Singano kaondoka bure, kwakuwa TFF wamesema yuko huru.. Ila kuhusu Okwi ni hela nyingi timu imeingiza.

Hawa watu sijui km wanafikiri na kukumbuka mbona hawaongelei issue ya Ngassa kuondoka bure? Bora wangekaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…