PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Haiingii akilini kuona viongozi Wa klabu kama simba kufanya udanganyifu Wa mikataba Na kushindwa kuitekeleza kisha kukimbilia kuzilaumu mamlaka kuwa zinawahujumu.wakati dunia nzima vilabu vinatafuta wachezaji wenye umri mdogo viongozi Wa klabu ya simba inampoteza mchezaji Ramadhani singano kwa ubabaishaji Wa kitoto unaofanywa Na hao viongozi.Hongera Azam kwa kumsajili mchezaji huyo na ninatoa wito kwa wachezaji vijana ndani ya simba kuamka Na kutafuta vilabu vingine ili mpate maslahi Mpira ni Pesa sio longolongo za viongozi Wa simba
ifike wakati,sheria za nchi zifanye kazi kwa viongozi kama hawa wa klabu ya simba, na hata mfumo mzima wa soka la tanzania ufumuliwe,
mambo haya ya viongozi wa babaishaji,ndio wanapelekea hata soka letu kua kichwa cha mwenda wazimu,
ikiwa hivi vilabu vitaacha ubabaishaji au kuongozwa na matapeli tapeli,,mpira wa tanzania utapiga hatua,