Tetesi: Viongozi wa Magufuli na Kikwete wenye HISA Dangote Cement ndiyo TATIZO Magufuli fanya jambo

Nikifikiri Mh Waziri Mkuu anatakiwa aende pale Msijute haraka akaongee na pande zote na kujua kiini cha tatizo na kutatua. Naamini hata kama Dangote anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini kukosa kodi yake hata kama ni kiduchu kiasi gani, ni hasara kubwa kwa Taifa kwa maana ya Kodi, Ajira nk.
Hivyo niombe kama itampendeza Mh Waziri Mkuu aende Mtwara yeye mwenyewe.
 
Na watu kabisa wanaweza amini kiwanda kikubwa kama Dangote decisions zake zinaweza toka nje au ata kuna kiwanda duniani shareholders wana influence operation decisions, aisee.
 
TPDF???????? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

aah Mkuu nimekosea kuweka F badala ya C. kichwani ilikuja jeshi. badala ya TPDC aisee. una macho lakini hongera
 
mkuu JPM chukua action ya haraka sana but iwe SMART
mambo serious kama haya anafunika kwa nguvu zote hana huo ubavu,size yake watendaji wale wakawaida wa airport wakurugenzi
 
Mkuu waziri wa viwanda (na ina maana Jumba Pumba Muku) washakubali yaishe na sasa Dangote atauziwa makaa ya mawe kwa bei ambayo waziri anaiita favourable!!! kiukweli serikali kwa sasa inatia huruma maana nyodo zao zoooote kwisha na sasa hawana budi kuwabembeleza wenye pesa a.k.a wawekezaji, asikudanganye mtu wafanyabiashara wana sauti kubwa kwenye maisha ya kila siku. JPM hana ubavu wa kuwadindia hao jamaa kama anavyotaka hao hawapo kwenye mamlaka yake na mwisho wa siku anataka kodi!!! anataka watu wa mikoa ya kusini wapate ajira atafanyaje lazima akae hapo ndipo utajua maana ya usemi ule......BOSI ANUNIWI
 
Msubiri wa kudadavua aje akudadavue maana zilishafyatuka siku nyingi hasa ikitajwa serikali ya mkulu. Yeye anasema ni fitina za Mengi.
 
Magufuli kwa hiyo nae ana wapiga dili wake

Wako wengi na ndio waliomzunguka na kumshauri; wengine ndio hao wanaohusika na ujangili wa meno ya tempo!! JPM ana kibarua kigumu sana he needs some supernatural intervention!!
 
Ukistaajabu Ya Dangote Utaona Ya GSM Group Of Companies
 
Wako wengi na ndio waliomzunguka na kumshauri; wengine ndio hao wanaohusika na ujangili wa meno ya tempo!! JPM ana kibarua kigumu sana he needs some supernatural intervention!!
pamoja na kuwa sikubaliani na hizi habari,
nikufungue macho tu kwamba as long as hii dunia bado ipo na wanadamu ndani yake,wapiga deal wataendelea kuwepo,mafisadi,walanguzi,wezi,vibaka etc wataendelea kuwepo,
magufuli awepo ama asiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…