TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Mtoto wa Makatani hawezi kufanya upuuzi huoNani huyo mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa Makatani hawezi kufanya upuuzi huoNani huyo mkuu?
Watajuta kuliokota garasa na litawagharimu
Basi kama kweli kuna hili jambo ni ajabu sana na rais anatakiwa kufuatilia hili suala
February maropeNani huyo mkuu?
Nikifikiri Mh Waziri Mkuu anatakiwa aende pale Msijute haraka akaongee na pande zote na kujua kiini cha tatizo na kutatua. Naamini hata kama Dangote anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini kukosa kodi yake hata kama ni kiduchu kiasi gani, ni hasara kubwa kwa Taifa kwa maana ya Kodi, Ajira nk.Kutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.
Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani serikalini zinasema kumekuwa na VUTA ni KUVUTE kati ya viongozi walio katika SERIKALI ya MAGUFULI,na viongozi WALIOKUWA katika serikali ya awamu ya nne ya KIKWETE walio na HISA katika Dangote Cement.
Kambi hizi mbili zimekuwa ZIKING'ANG'ANIA na kupigana kisiasa/Kimaslahi Ni NANI aliye na SAUTI ya UAMUZI kuhusu nini kifanywe Dangote Cement na kuwaacha menejimenti ya kiwanda hicho katika cross fire na hivyo KUSABABISHA kufungwa kwa kiwanda hicho kwa kisingizio cha marekebisho ya muda mfupi. Hivyo kuhatarisha AJIRA za wananchi.
Jambo hili limewaacha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Magufuli WAKISHANGAA wasijue la kufanya!
Magufuli asipolivalia njuga na KUTOCHANGANYA URAFIKI na UTENDAJI basi ndoto za VIWANDA nchini hazitatimia. Maana baadhi ya viongozi wake na wa Kikwete watagombania MASLAHI yao na SI YA TAIFA!
Chanzo Citizen 30/Nov/2016
Magufuli kulinda wizi wa MkapaMagufuli kwa hiyo nae ana wapiga dili wake?
TPDF???????? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuondolee uzushi na udaku wako. Maelezo yameshatolewa shida iko wapi, hujawasikia TPDF? Unataka kuleta siasa kila kitu
TPDF???????? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mambo serious kama haya anafunika kwa nguvu zote hana huo ubavu,size yake watendaji wale wakawaida wa airport wakurugenzimkuu JPM chukua action ya haraka sana but iwe SMART
Una utani na Katibu mkuu wako mstaafu wewe.Mtoto wa Makatani hawezi kufanya upuuzi huo
Mkuu waziri wa viwanda (na ina maana Jumba Pumba Muku) washakubali yaishe na sasa Dangote atauziwa makaa ya mawe kwa bei ambayo waziri anaiita favourable!!! kiukweli serikali kwa sasa inatia huruma maana nyodo zao zoooote kwisha na sasa hawana budi kuwabembeleza wenye pesa a.k.a wawekezaji, asikudanganye mtu wafanyabiashara wana sauti kubwa kwenye maisha ya kila siku. JPM hana ubavu wa kuwadindia hao jamaa kama anavyotaka hao hawapo kwenye mamlaka yake na mwisho wa siku anataka kodi!!! anataka watu wa mikoa ya kusini wapate ajira atafanyaje lazima akae hapo ndipo utajua maana ya usemi ule......BOSI ANUNIWIKutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.
Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani serikalini zinasema kumekuwa na VUTA ni KUVUTE kati ya viongozi walio katika SERIKALI ya MAGUFULI,na viongozi WALIOKUWA katika serikali ya awamu ya nne ya KIKWETE walio na HISA katika Dangote Cement.
Kambi hizi mbili zimekuwa ZIKING'ANG'ANIA na kupigana kisiasa/Kimaslahi Ni NANI aliye na SAUTI ya UAMUZI kuhusu nini kifanywe Dangote Cement na kuwaacha menejimenti ya kiwanda hicho katika cross fire na hivyo KUSABABISHA kufungwa kwa kiwanda hicho kwa kisingizio cha marekebisho ya muda mfupi. Hivyo kuhatarisha AJIRA za wananchi.
Jambo hili limewaacha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Magufuli WAKISHANGAA wasijue la kufanya!
Magufuli asipolivalia njuga na KUTOCHANGANYA URAFIKI na UTENDAJI basi ndoto za VIWANDA nchini hazitatimia. Maana baadhi ya viongozi wake na wa Kikwete watagombania MASLAHI yao na SI YA TAIFA!
Chanzo Citizen 30/Nov/2016
Msubiri wa kudadavua aje akudadavue maana zilishafyatuka siku nyingi hasa ikitajwa serikali ya mkulu. Yeye anasema ni fitina za Mengi.Kutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.
Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani serikalini zinasema kumekuwa na VUTA ni KUVUTE kati ya viongozi walio katika SERIKALI ya MAGUFULI,na viongozi WALIOKUWA katika serikali ya awamu ya nne ya KIKWETE walio na HISA katika Dangote Cement.
Kambi hizi mbili zimekuwa ZIKING'ANG'ANIA na kupigana kisiasa/Kimaslahi Ni NANI aliye na SAUTI ya UAMUZI kuhusu nini kifanywe Dangote Cement na kuwaacha menejimenti ya kiwanda hicho katika cross fire na hivyo KUSABABISHA kufungwa kwa kiwanda hicho kwa kisingizio cha marekebisho ya muda mfupi. Hivyo kuhatarisha AJIRA za wananchi.
Jambo hili limewaacha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Magufuli WAKISHANGAA wasijue la kufanya!
Magufuli asipolivalia njuga na KUTOCHANGANYA URAFIKI na UTENDAJI basi ndoto za VIWANDA nchini hazitatimia. Maana baadhi ya viongozi wake na wa Kikwete watagombania MASLAHI yao na SI YA TAIFA!
Chanzo Citizen 30/Nov/2016
Magufuli kwa hiyo nae ana wapiga dili wake
Tupo pamoja mkuuaah Mkuu nimekosea kuweka F badala ya C. kichwani ilikuja jeshi. badala ya TPDC aisee. una macho lakini hongera
pamoja na kuwa sikubaliani na hizi habari,Wako wengi na ndio waliomzunguka na kumshauri; wengine ndio hao wanaohusika na ujangili wa meno ya tempo!! JPM ana kibarua kigumu sana he needs some supernatural intervention!!