kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Nikweli yawezekana viongozi walikuwa waoga kuliko hata raia wa kawaida.Ila kwa upande mwingne inatuonesha viongozi wengi walifanya kazi kwa kumuogopq mtemi
Ndo inavoonekanaNikweli yawezekana viongozi walikuwa waoga kuliko hata raia wa kawaida
Mbona wewe hukuongea? Acheni kuwasema wenzenu wakati nawe ulikuwa na nafasi ya kusema.Nikweli yawezekana viongozi walikuwa waoga kuliko hata raia wa kawaida.
Sikuongea bungeni au? Nilipo unahakika sikuongea?Mbona wewe hukuongea? Acheni kuwasema wenzenu wakati nawe ulikuwa na nafasi ya kusema
Wao ndio wapo kwenye nafasi nzuri zaidi kuliko sisi kujua nini kinaendelea huwezi mfananisha spika au cag na mwananchi aliyepo mpanda huko akilima, hao wapo kwenye uwezo wa kupata taarifa sahihi kwa uharaka kuliko wananchi wanaosubiri kuambiwa.Mbona wewe hukuongea? Acheni kuwasema wenzenu wakati nawe ulikuwa na nafasi ya kusema.
NA HILI NDILO JIBU SAHIHI KABISA.Ila kwa upande mwingne inatuonesha viongozi wengi walifanya kazi kwa kumuogopq mtemi
Exactly! Tumewapa kura na kula waende wakaisimamie serikali wao wanaenda kusimamiwa!! Tunawalipa pesa nyingi sana kazi kuvaa masuti nakugonga meza!! Shida unakuta mbunge yuko bungeni anawaza baamedi badala kuliwazia taifa, bora wangejengewa hosteli wasilale hotelini shwaini sana.Wao ndio wapo kwenye nafasi nzuri zaidi kuliko sisi kujua nini kinaendelea huwezi mfananisha spika au cag na mwananchi aliyepo mpanda huko akilima , hao wapo kwenye uwezo wa kupata taarifa sahihi kwa uharaka kuliko wananchi wanaosubiri kuambiwa.
Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali, kama bunge chini ya ndugai lilishindwa kutekeleza majukumu yake.
Sioni suluhu zaidi ya kiongozi wa bunge kuonesha uzalendo na kujiuzulu.
Kwa kusema kwamba Rais alishauriwa vibaya, Ndugai anakiri kwamba Bunge halikufanya kazi yake ipasavyo.Exactly! Tumewapa kura na kula waende wakaisimamie serikali wao wanaenda kusimamiwa!! Tunawalipa pesa nyingi sana kazi kuvaa masuti nakugonga meza! Shida unakuta mbunge yuko bungeni anawaza baamedi badala kuliwazia taifa, bora wangejengewa hosteli wasilale hotelini shwaini sana.
Ni mtu tuu udhaifu kawekwa ili chombo nacho kiwe dhaifu,tizama Sita alivyoruhusu serikali ya kiku kukosolewa in fact naye aliikosoa bila woga! Huyu analeta utani na urafiki kwenye kazi.Kwa mfumo wetu wa kisiasa na utaratibu wa CCM, Spika yupo chini ya Rais. Ndio maana kasema "wakubwa" wakiamua ndio basi tena
Hiyo ndio tafsiri ya bunge dhaifu.Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee...
binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tar. 8/4/2021 yakuwa
"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"
Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.
Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu,taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali,kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.
Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!
Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?
Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema,kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka. Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO!!!
Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi...udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae
BUNGE LA AIBU,AIBU,AIBU TUPU!!!
Umetoa mfano mzuri wa Sitta. Lakini hujamalizia nini kilimpata baada ya kuruhusu Bunge kuwa huru. Sitta alitolewa mfano, aliacha bunge likawa huru kidogo; mwisho wake akawa demoted kuwa waziri.Ni mtu tuu udhaifu kawekwa ili chombo nacho kiwe dhaifu,tizama Sita alivyoruhusu serikali ya kiku kukosolewa in fact naye aliikosoa bila woga! Huyu analeta utani na urafiki kwenye kazi ... Bunge aliloongoza ndiyo lahovyo toka vyamavingi!! Ameleta mpasuko mkubwa,uhasama,chuki,visasi,vinyongo,kuburuzwa,ufisadi,kudharauliwa,bunge kujificha,kuua demokrasia,kushambuliwa mbunge nayoote yasiyostahili kuwemo!