Viongozi wa Mihimili simameni imara na kiuzalendo

Hizi pesa wanazosema zimepigwa nafikiri ndo izi zilienda kwenye miradi ambayo haikupitishwa na bunge.... Kuna miradi mingi imefanyika bila ya bunge kupitisha bunge... Kiukweli huyu mzee magu binafsi naamkumbuka sana kwasababu kwa round hii ya mama naona kama masihara mengi!!!! Kama haya madai ya upotevu wa pesa niya kweli huyu CAG anatakiwa awe lockup alikuwa wapi siku zote kusema haya? Mama anatakiwa lockup, Vp anatakiwa lockup maana na yeye alisimamia pesa vbaya, PM anatakiwa lockup alishidwa kusimamia katiba na sheria za nchi, john magu nae atahukumiwa kwa Mungu... Ndugai nae lockup maana yeye ndo alikuwa kiherehere wakutaka na muda uwongezwe wa jamaa....'!! Magufuli alikuwa serious sana mengi ni mazuri japo mapungufu yapo na yapo kwasababu hakufata sheria za nchi hasa sheria za mikataba, aliamua yeye kama yeye... Ma sio kama hawa hawajui nini kilifanyika ila wanajificha kwa kivuli cha magu lawama zote kwake.... Ila sawa tumepigwa ivi ni kweli hatuoni magu alichofanya serious wakuu??
Tumeona aliyoyafanya ndio tunayajadili bosi, mfano kunyamazia- hasara za ndege
  • hasara za sgr
  • mradi wa umeme rufiji kwa upembuzi wa miaka 50 iliyopita
  • wizi bandarini
  • watumishi serikalini kunyimwa stahiki zao na kuwakata mikopo kupitiliza
  • kauli na vitendo vyakutisha
-kudharau ushauri hata wa wastaafu kwa kuwatukana wanawashwa
-kufukuza na kurudisha viongozi hovyo
-kubagua maendeleo kimaeneo
  • ubaguzu kiitikadi
  • kudharau utaalamu kwenye korona
  • kuiponda demokrasia
  • serikali kujiingiza kwenye biashara
  • kuinyima Uhuru mhimili mingine
  • kutishwa kiongozi na bastola mchana mbele ya waandishi
  • kunyamazia attempting murder dhidi ya mbunge
  • kuingilia conversation za simu za watu
  • kutukana viongozi wapumbavu
  • kutishia kupiga wanawake (mashangazi wa PM)
  • kuua mazao ya biashara
  • kufilisi na kusababisha wapinzani kukimbia nchi
  • kuharibu maelewano na nchi za nje hasa wafadhili
  • kutudanganya pesa za serikali hazipotei
  • kuzorotesha elimu na kuua vyuo vikuu vingi
  • wafanyabiashara kunyanyaswa
  • kesi zakubambikiza nk. nk.
* Mwinyi alisema maisha ni hadithi tuwe hadithi nzuri kwa wataosimuliwa.
 
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.

binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa

"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"

Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.

Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu, taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali, kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.

Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!

Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?

Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema, kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka.

Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO.

Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi. Udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae.

BUNGE LA AIBU, AIBU, AIBU TUPU!
Thubutu!! Wewe ungesema? Nakumbuka ni Ndugulile tu ndo alisema wakati akiwa naibu waziri wa wizara ya afya, naye akaondoka. Kule upande wa pili ni aliyekuwa Mwanasheria Mkuu ndo aliweza. Alianza huku juu bunge la katiba, akaondolewa, akenda nyumbani akaambiwa ajiuzulu akajibu mimi sikujiteua aliyenichilimicha atanichilimua, akaondolewa. Unajua leo yuko wapi? Makamo wa Kwanza wa Rais na maana yake ni kuwa anatoka chama cha upinzani
 
Ndugai alionekana kuupigia chapuo mradi huu tangu mwanzo na aliisha kiri kuwa aliwahi kwenda China na kuteta na wenye wazo la mradi, kwa vyovyote atakuwa na maslahi binafsi kwenye hili ambapo hata kwa akili ya kawaida tu huwezi kuupapatikia kirahisi hivyo.

Hoja ya mkubwa kusema na mdogo kukaa kimya, haina mashiko enzi hizi, inaonyesha wazi jinsi alivyo mnafiki na asivyo muadirifu, hivi ni kweli yeye kama Spika wa Bunge la Jamuhuri kama muhimili mmojawapo alishindwa kumshauri Rais JPM akiwa hai juu ya faida za mradi huu akamtolea nje?... Inaonekana sasa kuwa Assad alikuwa sahihi kusema kuwa Bungeni hamna vichwa mle, ni wapiga makofi tu!.....Inasikitisha sana.😤
 
Bado tunahitaji hojanyakinifu sio kupinga kila mkitu.

Je, Magufuli alikiwa sahihi au la? Mbona hata nchi nyinhine zilimuona shujaa? Ukweli wa mkataba ni upi?

Naomba majibu wana vichwa vya wendawazimu wenzangu.
Hata Hitler Adoloph kuna watu wanamuona shujaa, hivyo hiyo sio hoja
 
Ndiyo maana Katiba mpya inahitajika itakayohakikisha Mtu haondolewe ubunge kwa kufukuzwa uanachama au kuhama chama.
Kwa mfumo wetu wa kisiasa na utaratibu wa CCM, Spika yupo chini ya Rais. Ndio maana kasema "wakubwa" wakiamua ndio basi tena
 
Ndiyo maana Katiba mpya inahitajika itakayohakikisha Mtu haondolewe ubunge kwa kufukuzwa uanachama au kuhama chama.
Hicho kipengele ni cha kihuni sana. Kiliwekwa na haya majangili ya CCM baada ya kupigwa knockout na Mzee Mtikila kuhusu mgombea binafsi
 
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.

binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa

"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"

Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.

Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu, taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali, kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.

Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!

Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?

Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema, kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka.

Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO.

Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi. Udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae.

BUNGE LA AIBU, AIBU, AIBU TUPU!
Hii iishie humu humu jf, ikitoka tuu nje, ikachapishwa na gezeti lolote, jiandae kuitwa Dodoma!.
Usije kusema hukujua, niulize mimi mwenzio, yalinikuta yepi?.
P
 
Tumeona aliyoyafanya ndio tunayajadili bosi, mfano kunyamazia- hasara za ndege
  • hasara za sgr
  • mradi wa umeme rufiji kwa upembuzi wa miaka 50 iliyopita
  • wizi bandarini
  • watumishi serikalini kunyimwa stahiki zao na kuwakata mikopo kupitiliza
  • kauli na vitendo vyakutisha
-kudharau ushauri hata wa wastaafu kwa kuwatukana wanawashwa
-kufukuza na kurudisha viongozi hovyo
-kubagua maendeleo kimaeneo
  • ubaguzu kiitikadi
  • kudharau utaalamu kwenye korona
  • kuiponda demokrasia
  • serikali kujiingiza kwenye biashara
  • kuinyima Uhuru mhimili mingine
  • kutishwa kiongozi na bastola mchana mbele ya waandishi
  • kunyamazia attempting murder dhidi ya mbunge
  • kuingilia conversation za simu za watu
  • kutukana viongozi wapumbavu
  • kutishia kupiga wanawake (mashangazi wa PM)
  • kuua mazao ya biashara
  • kufilisi na kusababisha wapinzani kukimbia nchi
  • kuharibu maelewano na nchi za nje hasa wafadhili
  • kutudanganya pesa za serikali hazipotei
  • kuzorotesha elimu na kuua vyuo vikuu vingi
  • wafanyabiashara kunyanyaswa
  • kesi zakubambikiza nk. nk.
* Mwinyi alisema maisha ni hadithi tuwe hadithi nzuri kwa wataosimuliwa.

Nyie vijana,acha kukariri ndugu,ni serikali ipi isiyo na mapungufu duniani? Labda mbinguni
 
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.

binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa

"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"

Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.

Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu, taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali, kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.

Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!

Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?

Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema, kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka.

Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO.

Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi. Udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae.

BUNGE LA AIBU, AIBU, AIBU TUPU!
Mkuu

Wala usihangaike na hicho kinachoendelea kwa sasa maana kilitabiriwa enzi na enzi hivyo ni utimilifu tu hatua kwa hatua mpaka aliyecheka, anayecheka na anayetarajia kucheka wote WATALIA na KUSAGA MENO.

Soma neno la kiroho kama lilivyonukuliwa kwenye Biblia Daniel 2:24-45 BHN
"...Therefore Daniel went in unto Arioch, whom the king had appointed to destroy the wise men of Babylon; he went and said thus unto him: Destroy not the wise men of Babylon, but bring me in before the king, and I will shew unto him the interpretation. Then Arioch brought in Daniel before the king in haste, and said thus unto him, I have found a man of the captives of Judah, that will make known unto thee the interpretation.
The king asked Daniel, who was also called Belteshazzar, "Can you tell me what my dream is and what it means?" Daniel answered in the presence of the king, and said, It is not the wise men, the magicians, the astrologers, the magicians, the soothsayers, that they should shew thee the secret; But there is a God in heaven that revealeth secrets, and maketh known to the king Nebuchadnezzar what shall be in the latter days. Your dream and the visions of your head as you lay in bed were these: To you, O king, while you were lying in bed, thoughts came to you about what would happen next; and the God that uncovers the mysteries, showed you what will happen. But I was not unaware of the mystery, for I am more wise than anyone else, but that you, O king, may know the meaning of your dreams and your thoughts. “In your dream, O king, you saw a great and powerful image, standing before you.
The statue was terrifying. The image's head was of pure gold, its chest and arms of silver, its belly and thighs of brass. His legs of iron, his feet part of iron and part of clay. As you look, a stone is cut out, but it has not been crushed, and it has crushed the feet of brass and the clay of the image, and break it to pieces. Once the iron, the clay pot, the copper, the silver and the gold, all broke into pieces and became like chaff in the threshing floor in the dry season. The wind blew them away and not a single piece was left. But the stone that struck the image became a great mountain and filled the whole earth. “That is your dream, O king. And now we will give you the meaning. You, O king, are king of kings! God has given you kingdom, power, strength and glory! He has given you authority over all human beings, wild animals and all the birds of the air, wherever they are. You are the golden head! After you there will be another kingdom, but that kingdom will be weak. This will be followed by a third kingdom likened to brass; that will rule over the whole earth. After those kingdoms, you will follow another kingdom as strong as iron. And as iron that crushes all these, shall it break in pieces and crush and put an end to all these kingdoms; You also saw that the feet and toes of the image were half clay and half iron. This means that the kingdom will be divided; but you will have a certain amount of iron strength because there was iron mixed with the clay of the potter.
As you can see, the toes of his feet were half iron and half clay, and this means that the kingdom would be somewhat strong and somewhat weak. This means that the rulers of the kingdom will be mixed with the people of the land, but they will not be able to mix it up like the iron that cannot be mixed with the clay of the potter. In the time of those kings, The God of heaven will set up a kingdom that will never be destroyed. Some people will not conquer it, but it will crush and put an end to all these kingdoms, and it will stand forever. You saw a stone cut from a mountain, and it smashed to pieces the image made of iron, bronze, pottery, silver and gold. O king, the great God has revealed to you what will happen in the future. I have told you. Your dream is real and its meaning is real. ” O king, the great God has revealed to you what will happen in the future. I have told you. Your dream is real and its meaning is real. ” O king, the great God has revealed to you what will happen in the future. I have told you. Your dream is real and its meaning is real....."

Mwisho wa kunukuu.

Ili nchi iendelee, inahitaji siasa safi, mipango ya maendeleo yenye tija viongozi bora, wenye msimamo imara, wabunifu na wanaojali shida za wale wanaowaongoza na kuwahudumia kwa usawa, haki na ufanisi. Raia wenye kutambua thamani yao, haki zao na wajibu wao watakuwa makini na vitu muhimu vyenye kuathiri mustakabali wao hivyo hwawezi kuvumilia na kukubali viongozi ndumila kuwili na wanafiki.
 
Waliokuwa wanasema bunge ni rubber stamp ya serikali yawezekana walikuwa/wako sahihi.
Je yeye alishauri nini, wapi?
Ndo nashangaa... Maana amekurupuka sana kupinga Yale ya JPM...
 
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.

binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa

"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"

Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.

Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu, taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali, kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.

Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!

Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?

Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema, kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka.

Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO.

Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi. Udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae.

BUNGE LA AIBU, AIBU, AIBU TUPU!
Naomba mkono hoja, sasa imejitokeza fursa ya kuondoa aibu hii. Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita.., tuichangamkie!.
P
 
Wao ndio wapo kwenye nafasi nzuri zaidi kuliko sisi kujua nini kinaendelea huwezi mfananisha spika au cag na mwananchi aliyepo mpanda huko akilima, hao wapo kwenye uwezo wa kupata taarifa sahihi kwa uharaka kuliko wananchi wanaosubiri kuambiwa.

Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali, kama bunge chini ya ndugai lilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Sioni suluhu zaidi ya kiongozi wa bunge kuonesha uzalendo na kujiuzulu.
Ushauri wako umeshafanyiwa kazi Mkuu.
 
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.

binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa

"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya"

Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais alishauriwa vibaya.

Kiukweli kauli hii inaonesha udhaifu MKUBWA katika taasisi ambayo ilipaswa kuheshimika na kusikilizwa sana! Taasisi ambayo ni mhimili mkuu, taasisi ambayo inapaswa kuisimamia serikali, kutunga sheria na kutupa bajeti bora kwa maendeleo ya kweli kwa taifa letu.

Kistaarabu kauli ile (YA AIBU) ilipaswa kufutwa kwenye Hansard kwani inawafundisha wabunge ambayo wengine niwageni sio tuu kutoshauri kitu mkubwa (rais) akishakiongea! Bali kuwa waoga! bubu! na kutowasilisha matakwa ya wananchi waliowachagua!

Endapo kiongozi wako ananyamazishwa wewe uliye chini yake utasema nini?

Na huu ni uthibitisho mwingine yakuwa serikali ililiweka bunge mkononi na kuliamulia vyakusema, kwa bunge la namna hii tusitarajie maendeleo hili ni 'rubber stamp' ya nini serikali inataka.

Si ajabu sasa kuona wooote waliokosoa serikali waziwazi wametupwa pembeni kwenye uchaguzi wa aibu wa 2020. Sio ajabu kusema wabunge wa upinzani kupitia viti maalumu kuingia bungeni litakuwa ni agizo toka kwa MKUBWA kwenda kwa MDOGO.

Mhimili umegeuka sio mhimili tena,haustahimili kulibeba taifa na hauwezi. Udhaifu huu ni lazima tuuongee bila kukubali kuogopa vitisho na mateso yanayoweza kutekelezwa juu yetu! Tupaze sauti tulikatae.

BUNGE LA AIBU, AIBU, AIBU TUPU!
Majukumu ya Spika na kazi za wabunge zimeaanishwa kwenye katiba.
Hakuna anaye weza kulizuia Bunge au kumziba mdomo Mbunge yeyote lbda kwa yule au wale wasio jiamini.

Serikali haswa ya awamu hii ya 6 haikatai kukosolewa bali ukosowaji huo uwe wenye lengo la kujenga zaidi kuliko kubomoa na ukosoaji uwe wa staha sio kuvunja Heshima ya Serikali, au kuidhalalisha.
(hakuna binaadamu yeyote timamu anaye penda kudhalalishwa)

Mhimili wa Bunge ni kiungo muhimu sana ktk kufanikisha maendeleo ya wananchi hivyo ili tupate maendeleo lazima Bunge/wabunge waisimamie Serikali bila woga wala huba ila kwa masilahi ya Taifa.
 
Back
Top Bottom