EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Hebu ajulishwe vinginevyo atumie TIBIICC tuLabda Mama hajui kama bado tumefungiwa! Tupate mtu amtonye, uchaguzi ulishaisha zamani, tulishakubali matokeo japo kinyonge lakini mawasiliano bado tu yamebanwa!!!