britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Irani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa kuwa anaona serikali yake imeanza kukosa nguvu.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi amekuwa akizungumuza na marekani kuwa na makubaliano ya kukabidhi uranium na kufunguliwa kwa Mlango-Bahari hataki kuona mapigano tena
Spika wa Bunge la Iran Majlis – Islamic Consultative Mohammad Bagher Ghalibaf
Yeye ni mwanasiasa mgumu hardliner, aliyewahi kuwa kamanda wa IRGC, Meya wa Tehran, na mgombea urais mara kadhaa. Huyu ndio anataka mapigano na anamshitumu waziri wa nje wa Abbas Araghchi kuwasiliana na Marekani kwa makubaliano
Ni mtu anaependa mapigano kuendelea ila viongozi wezake wengi hawataki
Irani ipo kwenye mpasuko mkubwa wa kisiasa na kiuchumi
Britanicca