britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Wewe ongea mambo ya pole pole na chadema, njee ya hapo mweupe kabisaIrani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa kuwa anaona serikali yake imeanza kukosa nguvu.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi amekuwa akizungumuza na marekani kuwa na makubaliano ya kukabidhi uranium na kufunguliwa kwa Mlango-Bahari hataki kuona mapigano tena
Spika wa Bunge la Iran Majlis – Islamic Consultative Mohammad Bagher Ghalibaf
Yeye ni mwanasiasa mgumu hardliner, aliyewahi kuwa kamanda wa IRGC, Meya wa Tehran, na mgombea urais mara kadhaa. Huyu ndio anataka mapigano na anamshitumu waziri wa nje wa Abbas Araghchi kuwasiliana na Marekani kwa makubaliano
Ni mtu anaependa mapigano kuendelea ila viongozi wezake wengi hawataki
Irani ipo kwenye mpasuko mkubwa wa kisiasa na kiuchumi
Britanicca
Ndio ujinga uliomezeshwa na mchungaji wako.USA anatakiwa alipue miundo mbinu yote maji,umeme na madaraja hadi magaidi wa Iran akili iwarejee.
Hapana ni maUstahadhi.Ndio ujinga uliomezeshwa na mchungaji wako.
Tumia hicho kichwa vizuri, usitumie kichwa kama kifaa cha kubeba propaganda za watu.Hapana maUstahadhi.
Saana 🤣🤣🤣Wewe ongea mambo ya pole pole na chadema, njee ya hapo mweupe kabisa
Huu sio uwanja wako mkuu, unaonyesha nyeti zako .. Kapambanie mambo ya TISS, CCM mambo ya Iran ni kina kirefu, ba mbaya zaidi unajadili issue ya Iran kihisia zaidi kuliko uhalisia tena kwa kuokoteza taarifa kwenye vu buroguIrani ipo kwenye migogoro kwa Viongozi wao wakuu na kusababisha kutoelewana kwa Viongozi
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amekuwa akitaka utulivu na kutaka makubaliano yafanyike hataki vita kwa kuwa anaona serikali yake imeanza kukosa nguvu.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Abbas Araghchi amekuwa akizungumuza na marekani kuwa na makubaliano ya kukabidhi uranium na kufunguliwa kwa Mlango-Bahari hataki kuona mapigano tena
Spika wa Bunge la Iran Majlis – Islamic Consultative Mohammad Bagher Ghalibaf
Yeye ni mwanasiasa mgumu hardliner, aliyewahi kuwa kamanda wa IRGC, Meya wa Tehran, na mgombea urais mara kadhaa. Huyu ndio anataka mapigano na anamshitumu waziri wa nje wa Abbas Araghchi kuwasiliana na Marekani kwa makubaliano
Ni mtu anaependa mapigano kuendelea ila viongozi wezake wengi hawataki
Irani ipo kwenye mpasuko mkubwa wa kisiasa na kiuchumi
Britanicca
MkuuUSA anatakiwa alipue miundo mbinu yote maji,umeme na madaraja hadi magaidi wa Iran akili iwarejee.
Uliowataja Wapo Bunker Chini Ya ArdhiMojitaba na iRGC ndo wana final say, hao wengine maoni yao ni ushauri tu.
Hakuna mgawanyiko, ni kwamba wakati wa vita ya uvamizi/mapinduzi jeshi huwa linachukua control ya nchi. Diplomasia wanaachiwa wanasiasa na wanadiplomasia huku jeshi likibakia kutafuta suluhu vitani.
Tokea vita inaanza huyo waziri wa mambo ya Nje alikua busy huko UN, EU, Gulf states kutafuta suluhu ya vita mezani huku IRGC wao wakipambana kuilinda nchi maana US hutumia mwanya wa mazungumzo kushambulia.
Ni hivi IRGC ndio wenye maamuzi yote kama hawajaitwa mezani au kukubali mazungumzo basi kuongea na hao wanasiasa ni kupoteza muda tu maana hata wakikubali mwisho wa siku IRGC hawachukui command kwao wanamsikiliza Ayatollah peke yake!!
So hapa suluhu ni US kuondoka akavamie Greenland kwanza maana ndio amesema ni wachovu, akilazimisha kuiteka Iran itakua vita ndefu na itaisha kwa aibu kama Afghanistan ambako US walipigana miaka 20 na "kufanikiwa" kuing'oa serikali ya Taliban kwa kuweka serikali ya Taliban!!!