Viongozi wa ngazi ya juu ya irani wageukana

Mimi na simama na Spika wa Bunge la IRAN, vita iendelee mpaka kieleweke, Mpaka kila mtu anunue mafuta litre 1 kwa 30,000/=

Ni kwa mara ya kwanza, IRANI imewawezesha mataifa makubwa i.e Ulaya kwamba wanaweza kutofautiana na USA na kisitokee kitu.
Unaijua hali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya Iran baada ya kutofautiana na USA?
 
MGAWANYIKO UPO. UPO WAZI KABISA DOGO TUNATETEA UJINGA.
Hakuna mgawanyiko nitajie hapa nani katofautiana na mwenzake? Mtaje kwa jina tu.

Wanaoongoza mazungumzo kina Ghalibaf na Arragarchi mbona wapo direct sana na hata Rais Pezesshkian naye kaongea kitu kile kile sawa tu na Mojtaba na IRGC commanders.

Nitajie tu kiongozi mmoja tu wa Iran aliyepinga Iran kufunga Hormuz leo? Au aliyekubali kuacha program ya nuclear?
 
Wagawanyike wote watandikwe vizuri akili ziwakae sawa
 
Mimi na simama na Spika wa Bunge la IRAN, vita iendelee mpaka kieleweke, Mpaka kila mtu anunue mafuta litre 1 kwa 30,000/=

Ni kwa mara ya kwanza, IRANI imewawezesha mataifa makubwa i.e Ulaya kwamba wanaweza kutofautiana na USA na kisitokee kitu.
🤔🤔🤔🤔
 
Dogolas unapaniki sana. Hebu soma alichoanzisha mtoa mada. Kwa utulivu tu bila makasiriko.
 
Dogolas unapaniki sana. Hebu soma alichoanzisha mtoa mada. Kwa utulivu tu bila makasiriko.
Huyo mtoa mada ni mpotoshaji? Si ndio alisemaga vita itaisha ndani ya saa 48? Anajua nini huyo kuhusu Iran? Alisemaga hata Navy ya Iran imefutwa cha ajabu leo hii wanazuia meli kwa kutumia jeshi gani sasa kama la maji lilifutwa?

Ni mpotoshaji tu asiyejua lolote
 
Sasa si aangushiwe lile dubwasha kwenye kichwa chake halafu basi kwani shida nini? Sisi huku tumechoka migomo ya mafuta nauli kupanda wayamaliza maisha mengine yakae sawa tu
 
Hauko Iran na hujui kinachoendelea.

Unapoweka taarifa zako, ANDIKA na SOURCE tujue ulikozitoa.

Huu upumbavu upungue kadri unavyoongezeka na umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…