Viongozi wa ngazi ya juu ya irani wageukana

Mfano Tanzania Kutokee vita unahisi Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya nje na Waziri mkuu watakua na Nguvu zaidi? Wote uliotaja ni wanasiasa, Wana role zao Ila hakuna hata mmoja hapo mwenye kauli ya mwisho, Angalau ungesema Mojtaba na Jeshi wamegeukana atleast kidogo ungekua na kauli yenye mashiko, ila hii hoja ulioitoa hapa kwa MTU yoyote ambaye anaifahamu Iran anajua ni propaganda.
 
Akili Yako mdogo sana dogo
 

Mbona jamaa anatoa habari ambazo zipo kwenye vyombo vya habari vikubwa? Ni kama una ugomvi naye?
 
Safi sana hawa wengine hawajui kwenye vita uamuzi haupo kwa Rais huwa upo kwenye jeshi.

Tatizo kenge hata Mk47 haijui ipo vipi anataka kuongelea siasa kwenye vita.

Anyway wacha wapige kelele Iran wako tayari wamemtumia ujumbe Shetanyahu na Trump vitu vipo tayari wakiamua kukianzisha.

Echolima1 mmeisha nunua Pampers zakutosha sababu Iran kisha jiandaa vizuri ile stockpile walio tumia wameisha irudisha na zaidi yake


View: https://youtu.be/ibRLpYynR8w?si=b_KrYkHDMpoTFSrb
 
Hapa nawe dogo umepotosha sana.
Nimepotosha nini? Au tatizo lugha? Wanawake zaidi ya 1,300 wameuwawa au kujeruhiwa vibaya.
Huo ndio ugaidi
 
Mbona jamaa anatoa habari ambazo zipo kwenye vyombo vya habari vikubwa? Ni kama una ugomvi naye?
Ugomvi na ID feki nipate nini? Habari aliyotoa haipo kokote ni maoni binafsi ila sasa analazimisha ni fact wakati hajaweka source yoyote.

Unaweza chukulia poa ila JF inapoteza heshima ya zamani. Enzi hizo ukisikia taarifa ipo JF basi inakua ya kweli kwa sasa imejaa fake news mara Netanyahu kafa, mara Mafwele kafa, sijui Mojtaba kauwawa yaani propaganda tu no facts.
 
Sasa kule kwenye mazungumzo huwa wanaenda kufanya nini?
Mazungumzo yanatumia 10 point za Iran, wanadiscuss hizo point, chochote kinachozungumzwa ni kutetea hizo point ambazo ni hizi hapa
  1. Cessation of the war on Iraq, Lebanon, and Yemen
  2. Cessation of the war in Iran with no time limit
  3. Ending all conflicts in the region
  4. Reopening the Strait of Hormuz
  5. Establishing a protocol and conditions to ensure freedom and security of navigation in the Strait
  6. Full payment of war reparations to Iran
  7. Lifting sanctions on Iran
  8. Release of the Iranian frozen assets held by the United States
  9. Iran commits to not seeking possession of any nuclear weapons
  10. Immediate ceasefire on all fronts upon the ceasefire announcement
Hizo point 10 ndio vitu ambavyo Iran anataka, na ndio demands zake, zikikubaliwa vita viishe.
 

Kama waume zao na baba zao wanawatumia kama ngao wacha wauawe. Magaidi ni yale yanaenda kuwateka au kuwalipua wakiwa wana fanya tu shughuli zao za kila siku. Sisi waislamu ugaidi ni imani yetu.
 

Sasa mbona unatokwa sana povu?
 
Iran Ipi Ya Mwanagati, Kitunda Ama Kibeberu
 
Hakika Kupiga Hispital, Miundombinu Muhimu Hiyo ni uhalifu wa kivita japo naona wakielekea huko kama Iran hata surrender

Britanicca
Kwa hiyo hii sio vita ya kuwakomboa raia wa Iran kama Trump anavyodai ila ni vita ya kuibomoa Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…