Viongozi wa Pamba Jiji ni vichekesho

Viongozi wa Pamba Jiji ni vichekesho

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Eti kwa vile wana mapenzi na Yanga na Yanga wanacheza na Pamba basi wamejiweka pembeni kwanza hadi gemu iishe.Aisee

Kwahiyo wachezaji wote nao wakisema wana mahaba na Yanga mtawalazimisha wacheze au vip

Pumbavu kabisa, achieni timu mara moja, gemu yenu vs Yanga haina maana tena
 
Ubaya ubwela....
Unafanya kazi mpk sasa 4 kw 0...
 
Tulieni ndio tunaanza ligi kesho na yale makosa ya kibinadamu yaendelee kama kawaida.
 
Hii mijitu ya kanda ya titi ni hovyo kwenye mpira mtindo kama huu ndo umeipoteza toto la yanga afrika.
 
Pamba itafungwa kama Simba ilivyofungwa 3 mfululizo na tutaongeza mara ya nne
 
Hii mijitu ya kanda ya titi ni hovyo kwenye mpira mtindo kama huu ndo umeipoteza toto la yanga afrika.
Ata Simba asingekuwepo kama si juhudi za Yanga kuzuia isishuke Daraja, maana Yanga ilikua na mamlaka kamili katika mchezo Ule na mpaka kipindi Cha kwanza kinakamilika Yanga walikua mbele kwa Goli Moja.

Baada ya mjadala mrefu wakati wa mapumziko, Yanga kama Baba wa mpira na Simba ni mtoto wake walikubali kuachia Ubingwa kwa Costal kwa kuruhusu Goli mbili zilizo fungwa na Marehemu Chumila na Makelele Goli la upande wa kusini pale shamba la Bibi na mchezo kwisha kwa ushindi kwa Simba wa 2-1

Wakati uo Viongozi wa Simba wote Walisha kimbia kwa hofu baada ya kuwa wamepoteza mechi dhidi ya Pamba na walikua wanakwenda kukutana na Yanga katika mechi ya mwisho.

Mechi Ile Yanga ilikua ikishinda Ina utwaa u champion wa Ligi kuu.

Kiongozi aliye bakia na timu Mzee Jabir Shika mkono alizimia wakati aki ileta timu uwanjani kutokana na mawazo na hofu aliyokuanayo na yeye ndiye alikua Dereva wa gari wakiwa wanatokea Hoteli ya Njuweni kule kibaha walipokua wame weka Kambi.

Mchezaji John Makele na wenzake ilibidi waendeshe gari ili kiifikisha timu Shamba la Bibi.

Hii Simba unayo Iona Leo ni Juhudi za Maksudi zilizo fanywa na Yanga na baadhi ya viongozi wa Serikali kuiona Bado ipo Ligi kuu.
Kiongozi wao Jimmy Ngonya Ali ikimbia timu na kuleta hofu kuu.
 
Back
Top Bottom