Hii mijitu ya kanda ya titi ni hovyo kwenye mpira mtindo kama huu ndo umeipoteza toto la yanga afrika.
Ata Simba asingekuwepo kama si juhudi za Yanga kuzuia isishuke Daraja, maana Yanga ilikua na mamlaka kamili katika mchezo Ule na mpaka kipindi Cha kwanza kinakamilika Yanga walikua mbele kwa Goli Moja.
Baada ya mjadala mrefu wakati wa mapumziko, Yanga kama Baba wa mpira na Simba ni mtoto wake walikubali kuachia Ubingwa kwa Costal kwa kuruhusu Goli mbili zilizo fungwa na Marehemu Chumila na Makelele Goli la upande wa kusini pale shamba la Bibi na mchezo kwisha kwa ushindi kwa Simba wa 2-1
Wakati uo Viongozi wa Simba wote Walisha kimbia kwa hofu baada ya kuwa wamepoteza mechi dhidi ya Pamba na walikua wanakwenda kukutana na Yanga katika mechi ya mwisho.
Mechi Ile Yanga ilikua ikishinda Ina utwaa u champion wa Ligi kuu.
Kiongozi aliye bakia na timu Mzee Jabir Shika mkono alizimia wakati aki ileta timu uwanjani kutokana na mawazo na hofu aliyokuanayo na yeye ndiye alikua Dereva wa gari wakiwa wanatokea Hoteli ya Njuweni kule kibaha walipokua wame weka Kambi.
Mchezaji John Makele na wenzake ilibidi waendeshe gari ili kiifikisha timu Shamba la Bibi.
Hii Simba unayo Iona Leo ni Juhudi za Maksudi zilizo fanywa na Yanga na baadhi ya viongozi wa Serikali kuiona Bado ipo Ligi kuu.
Kiongozi wao Jimmy Ngonya Ali ikimbia timu na kuleta hofu kuu.