REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Inauzi sana kuona kiongozi wa serikali anakuja mbele ya camera ooh pole tuvumiliane sijui nini maneno kibao yote hayana maana zaidi ya kutonesha vidonda na kupandisha hasira upya wananchi
Kilichotokea octoba 29 siyo tetemeko, siyo radi, siyo kimbuga wala ajari iliyosababisha watu kufa ni jambo lililopangwa kwa makusudi likatelelezwa
Sasa tunachotaka uwajibikaji mnasema wale wageni basi viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama hawafai inakuwaje mgeni anaingia na mabunduki na kuuwa raia tena mjini si porini
Rais aliyeapa kuitetea katiba na kutulinda watanzania inakuwaje anaruhusu tunakufa na yeye ndio amri jeshi mkuu, haya wageni wameingia wameua ndugu na jamaa zetu akiwa kama amri jeshi mkuu ameruhusu hilo litokee ajioni hafai tuongoza maana kashindwa Linda inchi na mipaka yake so awajibike over acheni ngonjera zenu
Pole zenu hatuzitaki mmeshasema ni wageni sijui nini haya nani tumchune ngozi mbona tunachezeana akili kama watoto wadogo
Mnatupa takwimu ya magari sijui nini vipi idadi ya vifo vya ndugu zetu