Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Huu ni mtaji wa mangungu kuwa na mashabiki dizaini hii,,hakika mangungu mitano Tena na Rage aendelee kuheshimiwa wazee uwa wanaona mbali sanaHapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni washabiki wa yanga.
Mimi ni Simba lakini huu Uzi ni wa kipuuzi everHapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni washabiki wa yanga.
Chura bhanaMimi ni Simba lakini huu Uzi ni wa kipuuzi ever
Unataka wateke wachezaji au?Hapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
Wao wanajua nilichoandikaUnataka wateke wachezaji au?
Kina majaliwa ndiyo wanaocheza uwanjani😀Hapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
Mbona hujawataja Wallace Karia, Tatu Malogo, Kepha Kayombo, Japhet Smart, Heri Sasii, Shomary Lawi, Mzee Mguto, na wengineo wengi! Na wenyewe wameipigania sana timu msimu huu pasipo na mafanikio.Hapo vip!