Viongozi wa serikali wanakwepa kujaza fomu za mali wanazomiliki,lmimi ni nani nitaje nyumba zangu

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu
Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi ni nani nikurupuke kutaja Mali zangu.
Malizaneni kwanza na hizo fomu za maadili........
Hii thamani yake milioni 3
Ramani-ya-vyumba-viwili-2-1030x776.jpg
 
Yeah nhe!!!!,mmmmmm shiit9le country maisha yanachanganya sana
 
Mimi similiki hata kampuni ya bajaj, namiliki nyumba moj na mabweni mawili ya wanafunz ,bwen moja LA kike lingine kiune
 
Salama wandugu
Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi ni nani nikurupuke kutaja Mali zangu.
Malizaneni kwanza na hizo fomu za maadili........
Hii thamani yake milioni 3
View attachment 2343095
Mwisho wa siku hao wataja kuumbuana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom