Mwisho wa siku hao wataja kuumbuana wenyewe kwa wenyeweSalama wandugu
Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi ni nani nikurupuke kutaja Mali zangu.
Malizaneni kwanza na hizo fomu za maadili........
Hii thamani yake milioni 3
View attachment 2343095
Ukakasi wa kitu gani kwani wewe huli au huliwi?We jamaa ovyo sana hiyo avatar yako mbona INA ukakasi