Viongozi wa Simba anzieni hapa: Inonga aliuza mechi

Isra ni kichaka kile,hana nguvu,akipoteza mpira kuurudisha tena hawezi, Ndio maana hata Inonga alikua analalamika kama uliona,
Inonga lazima ilikuwa ajifanye kulalamika apate wa kumuangushia jumba bovu sababu aliyeuza mechi ni yeye katafuta red card kachoka akaona afanye fyongoz kwa style nyingine
 
Kwa unyonge nakuunga mkobo kabisa..hadi manzoki aje december atakuta kiyombo an goli sifuri,phiri hata benchi hakai ni jukwaani kabisa
Ila katika kitu ambacho kilinikera jana ni kitendo cha kocha kutumuweka phiri hata benchi

Yani niliudhika to the fullest na mpira wenyewe sikutaka hata kuangalia wala kuusikiliza
 
Ila katika kitu ambacho kilinikera jana ni kitendo cha kocha kutumuweka phiri hata benchi

Yani niliudhika to the fullest na mpira wenyewe sikutaka hata kuangalia wala kuusikiliza
Nilipigwa na butwaaa mno
 
Wakati mwingine mashabiki tupunguze kulalamika na kuwa against na ukweli wenyewe,Yanga walicheza vizuri second half hilo halina ubishi.
Hivyo sioni mantiki ya kuanza kutafuta sababu za kipumbavu kama hii ya mleta mada,tulijisahau na benchi la ufundi lilijisahau na kushindwa kufanya sub mapema ndo kilichotugharimu,,
NB;,Uto wana kikosi kizuri mno[emoji119][emoji119]
 
Utayakumbuka maneno yangu mechi ya caf na wamalawi,save hii comment huyo unayemtetea atafanya vituko tutolewe mapema tuchekwe kwa herufi kubwa kashaonja utamu wa hizo hela hataacha
 
Inonga uwezo wake mdogo msimsingizie, take my words, aliye uza mechi ni MATOLA kwa kumuingiza cha kike huyo mzee m- Serbia, sijui anapataga faida gani, tena mkiendelea kumfuga mtakuwa mnai soma namva kila msimu, ova!
 
Matola hapana,huyu kocha alishasema haabgalii historia anaangalia pafomansi ya mazoezi
Halafu kaja na msaidizi wake,kicheo matola ni watatu sasa,ni ujeuri tu wq mzungu yule
 
Mashabiki wa aimba hata sijuagi wanataka nini, huyu Inonga alisifiwa sana sana kwa mapambio, na tuliwaambia hapa huyu anachwza na jukwaa zaidi mafoward wakimsoma hakuna kitu pale, mlitutukana sana.

Matokeo yake mnazodoa wenyewe kwa wenyewe mmeshapoteza.

Mara Matola, Mara Barba, Mara Kocha, Mara tryagain, mara mangungu.
 
Haata kama alisifiwa uwezo hapa tunaongelea kuchukua rushwa kusaliti team,kitu kibaya sana
 
Haata kama alisifiwa uwezo hapa tunaongelea kuchukua rushwa kusaliti team,kitu kibaya sana
Hayo ni mambo Hearsays na assumptions hawasaidii sana tafuteni mbinu za kisayansi kunoresha kikosi chenu na huyu kocha wenu akiingia upepo tu wa mashabiki wa simba maisha yatakuwa magumu sana upande wake
 
Keshakula hela za hivyo hataacha nakuapia
 
Utayakumbuka maneno yangu mechi ya caf na wamalawi,save hii comment huyo unayemtetea atafanya vituko tutolewe mapema tuchekwe kwa herufi kubwa kashaonja utamu wa hizo hela hataacha
Sawa mkuu nasubiri,muda ndo utasema ukweli huo
 
Mkuu yule beki wetu sijui Ottara hajafanga mistake jana? Mi naona kama naye alitucost
 
Lazima utamsifia maana alikuwa uchochoro wenu
 
Ila katika kitu ambacho kilinikera jana ni kitendo cha kocha kutumuweka phiri hata benchi

Yani niliudhika to the fullest na mpira wenyewe sikutaka hata kuangalia wala kuusikiliza
Kocha ni idiot ,Kyombo anakuwaje striker kwa mechi yenye presha kama ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…