King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 245
- 342
- Thread starter
-
- #61
Sasa huoni kama ilo litawapotezea ata ayo maslahi wanayopata endapo mashabiki na wanachama watachukua hatua dhabiti juu ya klabu ?Hahahahaha mtikisiko ni wakawaida maana ndio style yao ya uongozi we uko nao mbali
Hahahahaha mashabiki nyie wa mpira wa simba na yanga si nyie ndio ccm, huwa mnachukuaga hatua kweli? Mpk siku mnachukua hatua wao si wameshiba vya kutosha ?Sasa huoni kama ilo litawapotezea ata ayo maslahi wanayopata endapo mashabiki na wanachama watachukua hatua dhabiti juu ya klabu ?
Ipo siku upepo utabadirika tu na usichukulie poa maana kila badiriko uanzia ivi?Hahahahaha mashabiki nyie wa mpira wa simba na yanga si nyie ndio ccm, huwa mnachukuaga hatua kweli? Mpk siku mnachukua hatua wao si wameshiba vya kutosha ?
Wamefanya nini na hoja yako ni ipi ? Nafikiri baadhi yao kama Genta wamechagua namna yao ya kuipambania club yao kwa njia tofauti ambayo inaweza kuwa ya ajabu kwa baadhi yenu ila kwake ndio silaha kuu inaleta maanaTatizo LA simba ni mashabiki
Mfano wa humu jamvini nadhani unawajua e.g GENTAMYCINE
Nakubaliana na wewe labda hili litawazindua. Tangu mwanzo tukisema kama uvunjaji wa mkataba ni rahisi kama alivyofanya Awesu basi Hakuna haja ya Mikataba.Ndiyo safi mafuvu yataanza kufanya kazi, binadamu akipata changamoto huamsha ubongo
Kutajataja Mume wa Mtu kila mara hapa JamiiForums ni kutaka Kulazimisha nawe pia uwe sehemu za Mahawara zake.Tatizo LA simba ni mashabiki
Mfano wa humu jamvini nadhani unawajua e.g GENTAMYCINE
Wanachama je? Chanzo kikuu ni wanachama ambao hawezi kuhoji viongozi na muwekezaja labda kwa vile asilimia 51 haina nguvu na hilo ndilo tatizo lenyewe, swali fikirishi kwanini asilimia 51 haina nguvu, (majibu), jibu litakalo patikana ndiyo suluhisho la simba scKwa sasa ni kazi sana kutetea mambo ya Simba. Pale hakuna viongozi ni mafuvu tu
Ili suala mikataba pia TFF isipoangalia usimba na uyanga basi litakuja leta maafaNakubaliana na wewe labda hili litawazindua. Tangu mwanzo tukisema kama uvunjaji wa mkataba ni rahisi kama alivyofanya Awesu basi Hakuna haja ya Mikataba.
Hakika Mkuu.Ili suala mikataba pia TFF isipoangalia usimba na uyanga basi litakuja leta maafa
Mkuu bado nguvu ipo, na huu ndio muda sahihi kuthibitisha kauli mbiu ya Nguvu MojaKwa sasa ni kazi sana kutetea mambo ya Simba. Pale hakuna viongozi ni mafuvu tu
Mimi nakufuatilia kwa jicho chanya na naona umechagua njia yako binafsi kupambania klabu japo baadhi hawaelewiHakika Mkuu.
Kauli mbiu ya nguvu moja haifanyi kazi kwenye jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sautiMkuu bado nguvu ipo, na huu ndio muda sahihi kuthibitisha kauli mbiu ya Nguvu Moja
Mwisho wa siku mchezaji atakuwa anasaini leo kesho anaenda team nyingiHakika Mkuu.
Itafanyaje kazi kama hawachukui hatua dhabitiKauli ya nguvu moja haifanyi kazi kwenye jamii mfu ambayo haiwezi kujoji