Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

Muwekezaja akiongea kwa sauti za matumaini kwenye YouTube wanapiga vigelegele na mavuvuzela, kumbe ni project ya mdomoni
Kwani mwekezaji hajafanya kazi yake ? kwa utaratibu kazi ya mwekezaji ni kutoa pesa tu na wote tumeona pesa imetoka yaani Hakuna ubahili amefanya ivo sioni sababu ya kumuangushia mti. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa zamani Try Again amekiri kuwa zaidi ya 7 billion imetumika kufanya usajiri kwaiyo mwekezaji ametimiza wajibu wake na alichokisema.
 
Basi mpambane na hali yenu lakini project yoyote kitaalamu lazima iwe na andiko ili kuweza kufanya marekebisho , project za mdomoni kwenye ushindani wa kisasa haiwezi kufanikiwa kwasababu kuna watu wana akili zaidi yako, (smart people), dealing with smart people you will need competitive analysis
 
Timu nyingi za mpira huwaga zinaanziaga kwa wachezaji tena huomba kuiona mpaka mikataba yao,huko wakiziweka pembeni timu zinazo wamiliki. Ndioo wanapo kosea na huwa danganyaga na fedha.
 
Naomba msimuhusishe Mzee wetu Mangungu kwenye huu usajili maana alishatoa tamko kuwa Mwamedi akishindwa kusajili atatuomba wanachama na mashabiki tuchange hela za usajili, so huu ni usajili wa Mwamedi na Jaribu Tena.
 
Mzee unahisi kitu kikiandikwa tu ndio uwa bora na sahihi ? Na unauhakika gani kama aliyoongea mwekezaji sio project ya klabu kimaandishi ?
 
Timu nyingi za mpira huwaga zinaanziaga kwa wachezaji tena huomba kuiona mpaka mikataba yao,huko wakiziweka pembeni timu zinazo wamiliki. Ndioo wanapo kosea na huwa danganyaga na fedha.
Tatizo sugu na naona TFF inafumbia macho kwa mvumvuli wa usimba na uyanga,, Nasubiri siku timu ndogo ifanye ivo kwa timu ya Kariakooo !
 
Naomba msimuhusishe Mzee wetu Mangungu kwenye huu usajili maana alishatoa tamko kuwa Mwamedi akishindwa kusajili atatuomba wanachama na mashabiki tuchange hela za usajili, so huu ni usajili wa Mwamedi na Jaribu Tena.
Anzeni kwanza kulipia kadi zenu za uwanachama kwa wakati na kununua bidhaa za club
Naomba msimuhusishe Mzee wetu Mangungu kwenye huu usajili maana alishatoa tamko kuwa Mwamedi akishindwa kusajili atatuomba wanachama na mashabiki tuchange hela za usajili, so huu ni usajili wa Mwamedi na Jaribu Tena.
Anzeni kwanza kulipia ada za uwanachama kwa wakati na kununua bidhaa za club ndio tujue kama mtaweza au lopolopo tu
 
Mzee unahisi kitu kikiandikwa tu ndio uwa bora na sahihi ? Na unauhakika gani kama aliyoongea mwekezaji sio project ya klabu kimaandishi ?
Kabla ya andiko unafanya utafiti wa soko linahitaji nini,(audience), soko likoje, lilivyo kwasasa na hapo baadae,(market trends), wapinzani wako ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje, unajiangalia mwenyewe nguvu zako na mapungufu yako unafanya competitive analysis na organization chart,(muundo wa uongozi na majukumu yake), unatengeneza bajeti ya siku,mwezi hadi mwaka ikupendeza fanya bajeti ya miaka 3. Biashara ya mpira inahitaji wachezaji na namna ya kuwahudumia wakiwa nje ya uwanja na ndani ya uwanja, mishahara na usajili namna ya kuwaunganisha wapenzi wa soka na wanachama niongee kwa ufupi kila biashara ina muundo wake wa andiko la mradi yaani unafanya makosa kwenye makaratasi na siyo kwenye biashara,(uwanjani)
 
Kwaiyo unazania Kuwa aya yote viongozi au tajiri hajafanya ndani ya Simba Sports Club , yaani hawajafanya utafiti,hawajui soko,hawajui wapinzani wao, n.k yote ulioandika apo?
 
Kwaiyo unazania Kuwa aya yote viongozi au tajiri hajafanya ndani ya Simba Sports Club , yaani hawajafanya utafiti,hawajui soko,hawajui wapinzani wao, n.k yote ulioandika apo?
Wanachama wanahitaji furaha siyo kujaribu,(how long will you keep on trying), there is a need to learn how to beat competition, mtachukua muda gani kujifunza namna ya kukabiliana na upinzani, (successful business is done through competitive business plan not money)
 
Walikubaliana wanajenga timu, ligi hata haijaanza wameanza kuona wachezaji hawafai.
 
Sio Simba Wala Yanga, ccm, chadema na maeneo mengi wanachama wanaweza kuhoji. Sema tu Mo ameshindwa kuendana na Kasi ya Yanga
Uko sahihi lakini anahitaji watu sahihi tu maana pesa wanayo
 
Na kukosekana kwa watu sahihi inachangia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…