Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Muwekezaji akiongea kwa sauti za matumaini kwenye YouTube wanapiga vigelegele na mavuvuzela, kumbe ni project ya mdomoniItafanyaje kazi kama hawachukui hatua dhabiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muwekezaji akiongea kwa sauti za matumaini kwenye YouTube wanapiga vigelegele na mavuvuzela, kumbe ni project ya mdomoniItafanyaje kazi kama hawachukui hatua dhabiti
Kwani mwekezaji hajafanya kazi yake ? kwa utaratibu kazi ya mwekezaji ni kutoa pesa tu na wote tumeona pesa imetoka yaani Hakuna ubahili amefanya ivo sioni sababu ya kumuangushia mti. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa zamani Try Again amekiri kuwa zaidi ya 7 billion imetumika kufanya usajiri kwaiyo mwekezaji ametimiza wajibu wake na alichokisema.Muwekezaja akiongea kwa sauti za matumaini kwenye YouTube wanapiga vigelegele na mavuvuzela, kumbe ni project ya mdomoni
Basi mpambane na hali yenu lakini project yoyote kitaalamu lazima iwe na andiko ili kuweza kufanya marekebisho , project za mdomoni kwenye ushindani wa kisasa haiwezi kufanikiwa kwasababu kuna watu wana akili zaidi yako, (smart people), dealing with smart people you will need competitive analysisKwani mwekezaji hajafanya kazi yake ? kwa utaratibu kazi ya mwekezaji ni kutoa pesa tu na wote tumeona pesa imetoka yaani Hakuna ubahili amefanya ivo sioni sababu ya kumuangushia mti. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa zamani Try Again amekiri kuwa zaidi ya 7 billion imetumika kufanya usajiri kwaiyo mwekezaji ametimiza wajibu wake na alichokisema.
Timu nyingi za mpira huwaga zinaanziaga kwa wachezaji tena huomba kuiona mpaka mikataba yao,huko wakiziweka pembeni timu zinazo wamiliki. Ndioo wanapo kosea na huwa danganyaga na fedha.Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia zama za kale.
Hawataki kwenda kisasa kufuata sheria na utaratibu maalumu wa kupata mchezaji hivyo basi inapelekea kupata wachezaji wabovu na wale wazuri wakipoteza kila kukicha kwa kushindwa kesi .
Tulianza kwa Lameck Lawi na sasa mbaya zaidi imefika Awesu Awesu ambae mchezaji mzuri sana toka KMC wameshinda kesi na kumrejesha kwenye klabu yao. Bila kusahau wale waliowekwa vizuizini na TFF .
Tuwashauri awa viongozi walioshikilia uzamani na ukale kwenye kuendesha klabu ili kuinusuru klabu hii ya Simba Sports Club na soka la Tanzania kwa ujumla .
Mzee unahisi kitu kikiandikwa tu ndio uwa bora na sahihi ? Na unauhakika gani kama aliyoongea mwekezaji sio project ya klabu kimaandishi ?Basi mpambane na hali yenu lakini project yoyote kitaalamu lazima iwe na andiko ili kuweza kufanya marekebisho , project za mdomoni kwenye ushindani wa kisiasa haiwezi kufanikiwa kwasababu kuna watu wana akili zaidi yako, (smart people), dealing with smart people you will need competitive analysis
Tatizo sugu na naona TFF inafumbia macho kwa mvumvuli wa usimba na uyanga,, Nasubiri siku timu ndogo ifanye ivo kwa timu ya Kariakooo !Timu nyingi za mpira huwaga zinaanziaga kwa wachezaji tena huomba kuiona mpaka mikataba yao,huko wakiziweka pembeni timu zinazo wamiliki. Ndioo wanapo kosea na huwa danganyaga na fedha.
Anzeni kwanza kulipia kadi zenu za uwanachama kwa wakati na kununua bidhaa za clubNaomba msimuhusishe Mzee wetu Mangungu kwenye huu usajili maana alishatoa tamko kuwa Mwamedi akishindwa kusajili atatuomba wanachama na mashabiki tuchange hela za usajili, so huu ni usajili wa Mwamedi na Jaribu Tena.
Anzeni kwanza kulipia ada za uwanachama kwa wakati na kununua bidhaa za club ndio tujue kama mtaweza au lopolopo tuNaomba msimuhusishe Mzee wetu Mangungu kwenye huu usajili maana alishatoa tamko kuwa Mwamedi akishindwa kusajili atatuomba wanachama na mashabiki tuchange hela za usajili, so huu ni usajili wa Mwamedi na Jaribu Tena.
Kabla ya andiko unafanya utafiti wa soko linahitaji nini,(audience), soko likoje, lilivyo kwasasa na hapo baadae,(market trends), wapinzani wako ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje, unajiangalia mwenyewe nguvu zako na mapungufu yako unafanya competitive analysis na organization chart,(muundo wa uongozi na majukumu yake), unatengeneza bajeti ya siku,mwezi hadi mwaka ikupendeza fanya bajeti ya miaka 3. Biashara ya mpira inahitaji wachezaji na namna ya kuwahudumia wakiwa nje ya uwanja na ndani ya uwanja, mishahara na usajili namna ya kuwaunganisha wapenzi wa soka na wanachama niongee kwa ufupi kila biashara ina muundo wake wa andiko la mradi yaani unafanya makosa kwenye makaratasi na siyo kwenye biashara,(uwanjani)Mzee unahisi kitu kikiandikwa tu ndio uwa bora na sahihi ? Na unauhakika gani kama aliyoongea mwekezaji sio project ya klabu kimaandishi ?
Kwaiyo unazania Kuwa aya yote viongozi au tajiri hajafanya ndani ya Simba Sports Club , yaani hawajafanya utafiti,hawajui soko,hawajui wapinzani wao, n.k yote ulioandika apo?Kabla ya andiko unafanya utafiti wa soko linahitaji nini,(audience), soko likoje, lilivyo kwasasa na hapo baadae,(market trends), wapinzani wako ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje, unajiangalia mwenyewe nguvu zako na mapungufu yako unafanya competitive analysis na organization chart,(muundo wa uongozi na majukumu yake) biashara ya mpira inahitaji wachezaji na namna ya kuwahudumia wakiwa nje ya uwanja na ndani ya uwanja, mishahara na usajili namna ya kuwaunganisha wapenzi wa soka na wanachama niongee kwa ufupi kila biashara ina muundo wake wa andiko la mradi yaani unafanya makosa kwenye makaratasi na siyo kwenye biashara,(uwanjani)
Wanachama wanahitaji furaha siyo kujaribu,(how long will you keep on trying), there is a need to learn how to beat competition, mtachukua muda gani kujifunza namna ya kukabiliana na upinzani, (successful business is done through competitive business plan not money)Kwaiyo unazania Kuwa aya yote viongozi au tajiri hajafanya ndani ya Simba Sports Club , yaani hawajafanya utafiti,hawajui soko,hawajui wapinzani wao, n.k yote ulioandika apo?
Sio Simba Wala Yanga, ccm, chadema na maeneo mengi wanachama wanaweza kuhoji. Sema tu Mo ameshindwa kuendana na Kasi ya YangaHawawezi kuhoji,(jamii mfu), silent society
Tumeandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familiaSio Simba Wala Yanga, ccm, chadema na maeneo mengi wanachama wanaweza kuhoji. Sema tu Mo ameshindwa kuendana na Kasi ya Yanga
Bila changamoto hawawezi kuamsha ubongoMzee kwako unaona ni safi !
Walikubaliana wanajenga timu, ligi hata haijaanza wameanza kuona wachezaji hawafai.Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia zama za kale.
Hawataki kwenda kisasa kufuata sheria na utaratibu maalumu wa kupata mchezaji hivyo basi inapelekea kupata wachezaji wabovu na wale wazuri wakipoteza kila kukicha kwa kushindwa kesi .
Tulianza kwa Lameck Lawi na sasa mbaya zaidi imefika Awesu Awesu ambae mchezaji mzuri sana toka KMC wameshinda kesi na kumrejesha kwenye klabu yao. Bila kusahau wale waliowekwa vizuizini na TFF .
Tuwashauri awa viongozi walioshikilia uzamani na ukale kwenye kuendesha klabu ili kuinusuru klabu hii ya Simba Sports Club na soka la Tanzania kwa ujumla .
Acha tuWalikubaliana wanajenga timu, ligi hata haijaanza wameanza kuona wachezaji hawafai.
Uko sahihi lakini anahitaji watu sahihi tu maana pesa wanayoSio Simba Wala Yanga, ccm, chadema na maeneo mengi wanachama wanaweza kuhoji. Sema tu Mo ameshindwa kuendana na Kasi ya Yanga
Na kukosekana kwa watu sahihi inachangia sanaWanachama wanahitaji furaha siyo kujaribu,(how long will you keep on trying), there is a need to learn how to beat competition, mtachukua muda gani kujifunza namna ya kukabiliana na upinzani, (successful business is done through competitive business plan not money)
Sawa SawaBila changamoto hawawezi kuamsha ubongo