NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin.
Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia beki kisiki Lameck Lawi wamemsajili ila kambini hayupo bali anakiwasha huko Coastal union (wanamangushi)
ninawasihi viongozi wa Simba sc wasione soo (aibu) kujitokeza hadharani kutuomba radhi mashabiki kwani tutapokea tu maana tumezoea uongo wao kama tu Ngungu boy alitudanganya kuwa Manzoki ni mnyama na kumleta unyamani akapewa maiki akakili kuwa ni mnyama kumbe ni uongo lakini mashabiki tulisamehe.
sasa inakuawaje hili la Lameck Lawi mnashindwa kuja kutuomba radhi?? njooni mtuombe radhi na sisi tutawasamehe tu bila noma.