Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin.

Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia beki kisiki Lameck Lawi wamemsajili ila kambini hayupo bali anakiwasha huko Coastal union (wanamangushi)

ninawasihi viongozi wa Simba sc wasione soo (aibu) kujitokeza hadharani kutuomba radhi mashabiki kwani tutapokea tu maana tumezoea uongo wao kama tu Ngungu boy alitudanganya kuwa Manzoki ni mnyama na kumleta unyamani akapewa maiki akakili kuwa ni mnyama kumbe ni uongo lakini mashabiki tulisamehe.

sasa inakuawaje hili la Lameck Lawi mnashindwa kuja kutuomba radhi?? njooni mtuombe radhi na sisi tutawasamehe tu bila noma.
 
Haijaisha, sema hawapo serious sana naye maana watashindwa kupata saini muhimu halafu muda utaisha. Lakini itakuja automatically tu, Coastal Union watasalimu amri, na hata nao wanajua hilo
 
asante ahmedy ally kwa kunipa ufafanuzi mzuri
 
Mpeni tenda awapeleke viongoz wenu mahakaman
GSsQT_hXYAE3s9C.jpg
 
Haijaisha, sema hawapo serious sana naye maana watashindwa kupata saini muhimu halafu muda utaisha. Lakini itakuja automatically tu, Coastal Union watasalimu amri, na hata nao wanajua hilo
very very un professional kwakweli
 
Kuna kesi ipo kwenye kamati ya hadhi ya wachezaji. Kinachowapa kiburi Coastal ni kuwa na wajumbe wengi Tff kuanzia rais wa shirikisho, mwenyekiti wa kamati, mwenyekiti wa Bodi ya ligi na wajumbe wa kamati kuwa watu wao.
Simba kwa kutambua hilo wamesema hili swal litafika Hadi Cas.
 
ngoja tuone hii mkuu itakuaje
 
Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin.

Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia beki kisiki Lameck Lawi wamemsajili ila kambini hayupo bali anakiwasha huko Coastal union (wanamangushi)

ninawasihi viongozi wa Simba sc wasione soo (aibu) kujitokeza hadharani kutuomba radhi mashabiki kwani tutapokea tu maana tumezoea uongo wao kama tu Ngungu boy alitudanganya kuwa Manzoki ni mnyama na kumleta unyamani akapewa maiki akakili kuwa ni mnyama kumbe ni uongo lakini mashabiki tulisamehe.

sasa inakuawaje hili la Lameck Lawi mnashindwa kuja kutuomba radhi?? njooni mtuombe radhi na sisi tutawasamehe tu bila noma.
Hawawezi kuja hapa ukitaka majibu sahihi nenda msimbazi ama hudhuria vikao, swali fikirishi je vikao vinafanyika?
 
Ila nikikumbuka mashabiki wa Simba walishangilia manzoki kuongea mkutanoni na kuita yanga sijui rangi ya nyoka na Mangungu akashinda kwa kishindo hapo ndio naona soka letu bado sana na uelewa wa watu wetu ni mdogo sana maana hii tu ilitosha kuwa sababu ya kuvunja ule mkutano
 
!!
 
Attachments

  • IMG-20240720-WA0016.jpg
    IMG-20240720-WA0016.jpg
    56 KB · Views: 4
Ila nikikumbuka mashabiki wa Simba walishangilia manzoki kuongea mkutanoni na kuita yanga sijui rangi ya nyoka na Mangungu akashinda kwa kishindo hapo ndio naona soka letu bado sana na uelewa wa watu wetu ni mdogo sana maana hii tu ilitosha kuwa sababu ya kuvunja ule mkutano
Ona naye huyu! TOPOLO lenzie limeanzisha mada ile, haijaisha, linachomeka mada nyingine!
--Wenye akili kaongezeka MZEE MAGOMA tu!
 
Back
Top Bottom