Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

Umri kwa mchezaji ama.?
Naam, nadhani wengi wamevuka 30 kihalisia, miili haidanganyi, lakini pia kama wamepiga miaka kadhaa kama timu kubeba ligi mfululizo, bila mkakati wa maana wa kuziba mapengo, safari hii watagongwa nje ndani na UTO, kombe watalimwaga rasmi.
 


 
Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu.

Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na polisi. Kwa mwendo huu hakika tutazidi kupeana mateso tu.
Kama kuna kosa Simba watalifanya, ni kuupitisha uhamuzi wa kumfanya Lwandamina awe kocha wao mkuu. Nimeona hizi tetesi toka kwa viongozi wa ngazi za juu za timu.

Lwandamina ni average.
 
Kama vipi Mo akasomee ukocha hawa wengine hawana uchungu na hela zake.
 
Kama kuna kosa Simba watalifanya, ni kuupitisha uhamuzi wa kumfanya Lwandamina awe kocha wao mkuu. Nimeona hizi tetesi toka kwa viongozi wa ngazi za juu za timu.

Lwandamina ni average.
Yule ambaye Azam yake tu inachechemea ndo awe Kocha Mkuu wa Simba? Viongozi wetu watakuwa hawako serious.
 
Mnataka kocha huku hamchangii mapato club, hamnunui jezi, hamuingii uwanjani, huyo kocha atalipwa mawe?
Hizo jezi na malipo ya kuongalia game uwanjani wanatulipia..? Na ving'amuzi tunalipia mapata ya club yanalipwa both in direct na direct. Upo..?
 

Kwasasa Team Inahitaji Kurejesha Point Za Haraka

Na Mpira Biriani Unaoambatana Na Ushindi

 
Back
Top Bottom