Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Labda biriani la bamiaTunahitaji kocha atakayerudisha biriani letu
Umeanza Kuvuta Bangi lini tena Mkuu?GENTAMYCINE atatufaa sana
Naam, nadhani wengi wamevuka 30 kihalisia, miili haidanganyi, lakini pia kama wamepiga miaka kadhaa kama timu kubeba ligi mfululizo, bila mkakati wa maana wa kuziba mapengo, safari hii watagongwa nje ndani na UTO, kombe watalimwaga rasmi.Umri kwa mchezaji ama.?
Karibu kwenye Maombi aiseeUmeanza Kuvuta Bangi lini tena Mkuu?
Kama kuna kosa Simba watalifanya, ni kuupitisha uhamuzi wa kumfanya Lwandamina awe kocha wao mkuu. Nimeona hizi tetesi toka kwa viongozi wa ngazi za juu za timu.Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu.
Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na polisi. Kwa mwendo huu hakika tutazidi kupeana mateso tu.
Yule ambaye Azam yake tu inachechemea ndo awe Kocha Mkuu wa Simba? Viongozi wetu watakuwa hawako serious.Kama kuna kosa Simba watalifanya, ni kuupitisha uhamuzi wa kumfanya Lwandamina awe kocha wao mkuu. Nimeona hizi tetesi toka kwa viongozi wa ngazi za juu za timu.
Lwandamina ni average.
Nilisikia magori anasomea ukocha sasa huo ndo mda wa kumpa timuKama vipi Mo akasomee ukocha hawa wengine hawana uchungu na hela zake.
Hizo jezi na malipo ya kuongalia game uwanjani wanatulipia..? Na ving'amuzi tunalipia mapata ya club yanalipwa both in direct na direct. Upo..?Mnataka kocha huku hamchangii mapato club, hamnunui jezi, hamuingii uwanjani, huyo kocha atalipwa mawe?
Naunga mkono hoja! Kocha msaidizi apewe NAWATAFUNA , na yule wa makipa awe CHIZI VITABU! Hapo timu itapata ushindi kwa 100%