Viongozi wa Simba wanataka kutuaminisha Simba SC ni unbeaten

Viongozi wa Simba wanataka kutuaminisha Simba SC ni unbeaten

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Walipo fungwa na Ruvu kiongozi wao alisikika akisema 'Simba ni klabu iliyo fanya usajili mkubwa haiwezekani inafungwa na katimu ka VPL.

jana tena huyo kiongozi anadai Simba ilistahili kushinda isipo kuwa kuna wachezaji wali ihujumu.

Napia hawa viongozi wamekuwa walalamishi sana kwa marefa pindi timu yao ikifungwa au kutoa sare.

#UPDATED

Leo ndg kaduguda kiongozi wa SIMBA SC amesema uwezo wa morrison ni wa kawaida sana na tusi shangae akibeba viatu vya wachezaji wenzie"

Je, kwa usajili walio fanya SIMBA SC, ni kweli hawastahili kufungwa?
 
Kauli ya Mwamedi

Screenshot_2020-11-08-15-36-51-58_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg


Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unatumia nguvu Nyingi kuhalalisha dhulma mliyowafanyia lunyasi?

Uzi wa ngapi huu, unajitetea tu?
 
Mbona unatumia nguvu Nyingi kuhalalisha dhulma mliyowafanyia lunyasi?
Uzi wa ngapi huu, unajitetea tu?
Wapi nilipo jitetea?

hayo niliyo yataja hapo juu si manara na hanspope bila kumsahau mudi wana ya sema sana kama mkifungwa?

Je kwa usajili walio ufanya simba timu yao haistaili kufungwa?
 
Back
Top Bottom