Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Walipo fungwa na Ruvu kiongozi wao alisikika akisema 'Simba ni klabu iliyo fanya usajili mkubwa haiwezekani inafungwa na katimu ka VPL.
jana tena huyo kiongozi anadai Simba ilistahili kushinda isipo kuwa kuna wachezaji wali ihujumu.
Napia hawa viongozi wamekuwa walalamishi sana kwa marefa pindi timu yao ikifungwa au kutoa sare.
#UPDATED
Leo ndg kaduguda kiongozi wa SIMBA SC amesema uwezo wa morrison ni wa kawaida sana na tusi shangae akibeba viatu vya wachezaji wenzie"
Je, kwa usajili walio fanya SIMBA SC, ni kweli hawastahili kufungwa?