Kiongozi, kwa watu kama Hans Poppe, maana yake utapeli nyumbani kwake ni Simba.Utapeli hauna nafasi simba
Huyo sio Simba bali ni YangaMleta mada hujui ukichokiandika, una wenge la kushiba ndio maana huna habari na njaa, ngoja huyo aliyekushibisha aondoke ndio utapata akili.
Unamuona Mukoko hafai kwasababu ya kazi aliyoifanya Mo, be careful. Japo habari ya Mukoko nadhani ni magazeti tu hutakiwi kuzipa nafasi kubwa kihivyo, kama ilivyo kwa Chama kwenda jangwani, ili wauze magazeti yao tu.
Aende wapi wakati timu ni mali yake alishainunua? wewe ndio uondoke maana,haitaji kelele zako kwenye mali yake wewe ambaye huna unachoweza kuisaidia timu yake , kama naipenda sana soka basi na wewe nunua timu yako ili iishi hayo masharti yako lakini sii kupeleka kelele kwenye mali ya mtu. QUO WARANTO? You have no Locus standiMo Dewji must go, anatuharibia Simba yetu. Aondoke atuache na Simba yetu
Teh teh teh teh π€£π€£π€£π€£ hii kali aisee haaa haaa haaa πππMo ni Manara mwenye hela. Wanatofautiana hapo tu lakini akili zao ziko sawa.
Hivi huyu aliingiaje Simba ?Kiongozi, kwa watu kama Hans Poppe, maana yake utapeli nyumbani kwake ni Simba.
Jibu hoja , kama hujui kitu Shut UpWewe umeona wapi simba wamethibitisha kumsajili Tonombe,wewe sio simba ila umetumwa na utopolo!
Poleni imeshauzwa hakuna jinsiMo Dewji must go, anatuharibia Simba yetu. Aondoke atuache na Simba yetu
Sema wanatofautiana mengi Ila ni MTU mmoja.Mo ni Manara mwenye hela. Wanatofautiana hapo tu lakini akili zao ziko sawa.
Njooni tuwape timu nzima,Mukoko peke yake.Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba.
Hivi baada ya Kumchukua Morisson Simba ilifaidika na nini? hamjifunzi tu? sasa huyu Tonombe Mukoko mwenye mkataba wa miaka miwili na Yanga ndio atawasaidia nini?
View attachment 1625172
Mo Dewji must go, anatuharibia Simba yetu. Aondoke atuache na Simba y
Halafu wewe utopolo. Unawashwawashwa sana.Mo Dewji must go, anatuharibia Simba yetu. Aondoke atuache na Simba yetu
Sema wanatofautiana mengi Ila ni MTU mmoja.
Yaani mmoja tajiri mwingine mjasiriamali. Mmoja kasoma mwingine mwalimu wa madrasa. Mmoja muhindi mwingine mwingine mweupe kwa ulemavu wa mipango ya Mungu.
Mnapesa ya kusajili wachezaji wazuri? Sasa hivi umuhimu wa MO hamuuoni akiondoka mtaanza kumpigia magoti arudiMo Dewji must go, anatuharibia Simba yetu. Aondoke atuache na Simba yetu
Duh Kilomoni kacheza Simba 60s huko wewe na wakuja wenzako wakina Mo kaanzisheni Simba yenu ebooKakusanye Mizimu ya Babu yako Kilomoni muanzishe Simba yenu! Hii ya Msimbazi tuachie na Dewj wetu tubebe Makombe.
hujaandika lolote !Kwa akili hizi ndio ulikuwa unatushawishi tuwapigie kura Chadema!! Ni bora hata mlivyo garagazwa vibaya!! Hata akili za kutambua nini maana ya uwekezaji hujui!! Unafikili uyo muhindi ni mjinga kama wewe!! Ujiulizi kwa nini alitumia neno "muekezaji" mtu akija kwako akasema tuwekeze milioni kadhaa tufanye biashara, kwa akili zako za kimatumbi unajua ndio umepata fedha za bure uongeze mke wa tatu?!!! Akili za ngozi nyeusi ni shida!! Unashindwa kuelewa neno "kuwekeza" we kweli lofa!! Alisema nche nkapa!!
Mfanyabiashara mhaini huyoHivi huyu aliingiaje Simba ?