Viongozi wa Simba wanatuona sisi wanachama wa Simba ni Mabwege ?

Viongozi wa Simba wanatuona sisi wanachama wa Simba ni Mabwege ?

Wewe umeona wapi simba wamethibitisha kumsajili Tonombe,wewe sio simba ila umetumwa na utopolo!
 
Mleta mada hujui ukichokiandika, una wenge la kushiba ndio maana huna habari na njaa, ngoja huyo aliyekushibisha aondoke ndio utapata akili.

Unamuona Mukoko hafai kwasababu ya kazi aliyoifanya Mo, be careful. Japo habari ya Mukoko nadhani ni magazeti tu hutakiwi kuzipa nafasi kubwa kihivyo, kama ilivyo kwa Chama kwenda jangwani, ili wauze magazeti yao tu.
Huyo sio Simba bali ni Yanga
 
Mo Dewji must go, anatuharibia Simba yetu. Aondoke atuache na Simba yetu
Aende wapi wakati timu ni mali yake alishainunua? wewe ndio uondoke maana,haitaji kelele zako kwenye mali yake wewe ambaye huna unachoweza kuisaidia timu yake , kama naipenda sana soka basi na wewe nunua timu yako ili iishi hayo masharti yako lakini sii kupeleka kelele kwenye mali ya mtu. QUO WARANTO? You have no Locus standi
 
Wakati umefika sasa kocha awatumie na wachezaji wengine kama Nyoni, Kennedy, Ame na Gadiel Michal.
Center half wa timu ya taifa anapigwa benchi kali namna hiyo!!!!!!. Mbona kule Tunisia kacheza vizuri?
Na Simba watafute msaidizi wa Shomari Kapombe anajitoa sana na timu zote humuwinda yeye kumuumiza ili kupunguza mashambulizi yake.
 
Mo ni Manara mwenye hela. Wanatofautiana hapo tu lakini akili zao ziko sawa.
Sema wanatofautiana mengi Ila ni MTU mmoja.
Yaani mmoja tajiri mwingine mjasiriamali. Mmoja kasoma mwingine mwalimu wa madrasa. Mmoja muhindi mwingine mwingine mweupe kwa ulemavu wa mipango ya Mungu.
 
Ili kutusahaulisha na ile bil 20 iliyoahidiwa bila kuletwa na anayewapa hela ya kula, basi wanaamua tu kutuzuga na dhuluma za usajili kwa kuitegemea TFF ambayo imejaa wana simba.

Hivi baada ya Kumchukua Morisson Simba ilifaidika na nini? hamjifunzi tu? sasa huyu Tonombe Mukoko mwenye mkataba wa miaka miwili na Yanga ndio atawasaidia nini?

View attachment 1625172
Njooni tuwape timu nzima,Mukoko peke yake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]watu mna maneno mazito
Sema wanatofautiana mengi Ila ni MTU mmoja.
Yaani mmoja tajiri mwingine mjasiriamali. Mmoja kasoma mwingine mwalimu wa madrasa. Mmoja muhindi mwingine mwingine mweupe kwa ulemavu wa mipango ya Mungu.
 
Kwa akili hizi ndio ulikuwa unatushawishi tuwapigie kura Chadema!! Ni bora hata mlivyo garagazwa vibaya!! Hata akili za kutambua nini maana ya uwekezaji hujui!! Unafikili uyo muhindi ni mjinga kama wewe!! Ujiulizi kwa nini alitumia neno "muekezaji" mtu akija kwako akasema tuwekeze milioni kadhaa tufanye biashara, kwa akili zako za kimatumbi unajua ndio umepata fedha za bure uongeze mke wa tatu?!!! Akili za ngozi nyeusi ni shida!! Unashindwa kuelewa neno "kuwekeza" we kweli lofa!! Alisema nche nkapa!!
 
Kakusanye Mizimu ya Babu yako Kilomoni muanzishe Simba yenu! Hii ya Msimbazi tuachie na Dewj wetu tubebe Makombe.
Duh Kilomoni kacheza Simba 60s huko wewe na wakuja wenzako wakina Mo kaanzisheni Simba yenu eboo
 
Kwa akili hizi ndio ulikuwa unatushawishi tuwapigie kura Chadema!! Ni bora hata mlivyo garagazwa vibaya!! Hata akili za kutambua nini maana ya uwekezaji hujui!! Unafikili uyo muhindi ni mjinga kama wewe!! Ujiulizi kwa nini alitumia neno "muekezaji" mtu akija kwako akasema tuwekeze milioni kadhaa tufanye biashara, kwa akili zako za kimatumbi unajua ndio umepata fedha za bure uongeze mke wa tatu?!!! Akili za ngozi nyeusi ni shida!! Unashindwa kuelewa neno "kuwekeza" we kweli lofa!! Alisema nche nkapa!!
hujaandika lolote !
 
Hizi ni stress za uchaguzi. Sasa unahamishia kwenye mpira. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom