Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi za Mukwala jana, Jobe angeondoka na hat trick.Vitu vingine hata havihitaji elimu ya ziada, Ngoma sasa hivi AKILI na MWILI vinapishana maamuzi.. Ndo maana mechi na Coastal Union kadi zote alizopata ni kwa sababu ya kushidwa kasi.
Ngoma umri umeshaenda, hakuna cha mtu kulipwa ni ukweli ulio wazi...
Ngoma, Mzamiru na Kibu kwa sasa ni ABIRIA tu Simba hakuna MSAFIRI hapo...
MUTALE ni new-SAIDO halafu MUKWALA ni 95% ya JOBE... TUENDELEE NA UVUMILIVU WA HALI NA UKWELI ULIOPO TUKIENDELEA KUIJENGA TIMU....
KurujuaniMIMI TENA ?!
AU TAYALI MMEANZA KUCHANGANYIKIWA 😁
Si nilisikia Tumesajili Gen Z wakutosha?Na Upande wa pili Ndio Una Wazee??Mbona imekua Kinyume Tena Ghafla mnooVitu vingine hata havihitaji elimu ya ziada, Ngoma sasa hivi AKILI na MWILI vinapishana maamuzi.. Ndo maana mechi na Coastal Union kadi zote alizopata ni kwa sababu ya kushidwa kasi.
Ngoma umri umeshaenda, hakuna cha mtu kulipwa ni ukweli ulio wazi...
Ngoma, Mzamiru na Kibu kwa sasa ni ABIRIA tu Simba hakuna MSAFIRI hapo...
MUTALE ni new-SAIDO halafu MUKWALA ni 95% ya JOBE... TUENDELEE NA UVUMILIVU WA HALI NA UKWELI ULIOPO TUKIENDELEA KUIJENGA TIMU....
Ukiona hivyo kuna mchongo wa 10%Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"
Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma.
Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?!
Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo Micky jnr anajifanya haoni kama ni mwandishi alipaswa Kuandika Positive na Negative kumuhusu Azizi ki na siyo kuegamia Upande mmoja.
Naungana na wakala wa Fabrice Ngoma wachambuzi wanalipwa ili wampe presha aonekane hafai akae mbao Ndefu asicheze kabisa.
Pumnzika kidogo unywe maji umeandika kwa hasira sana 😁Yani kuna watu wanafiki mpk mende wanashangaa maana huwa wanawaona vyooni wanapokata gogo.....
Huyu Mukwala si kuna mtu hapa alimsifia kabla hajaja...halafu ana shida gani kwani...yani hii Simba isipoangalia itapelekeshwa mno na upepo wa nje...ishakua sasa mtu anaamka na ma hangover yake anasema fulani fukuza...
Duh sahivi hamumtaki MUKWALA 😁Nafasi za Mukwala jana, Jobe angeondoka na hat trick.
Mukwala is worse
😁Katika jambo pekee ambalo nawakubali Simba ni kitendo cha kumuiba Fabrice Ngoma. Waliisaidia sana Yanga.
Mimi utopolo mkuu, usinichanganye na mbumbumbu.!Duh sahivi hamumtaki MUKWALA 😁
Sasa kwanini Yanga hawakumchukua Jobs kama ni mzuri mbona Simba walishamwacha?watu mnawaza kwakutumia ma...kali.oNafasi za Mukwala jana, Jobe angeondoka na hat trick.
Mukwala is worse
Kwani lazima kila mchezaji mzuri or not anayeachwa na simba aende yanga..?Sasa kwanini Yanga hawakumchukua Jobs kama ni mzuri mbona Simba walishamwacha?watu mnawaza kwakutumia ma...kali.o
Jobe sio mchezaji mzuri,hilo haina hata haja ya kubishana mkuuKwani lazima kila mchezaji mzuri or not anayeachwa na simba aende yanga..?
Mbona unawaza bila logics..?
Punguza mihemko na matusi teenager
😄Unawalipa members wa JF wamchafue Mutale