Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

Nafasi za Mukwala jana, Jobe angeondoka na hat trick.
Mukwala is worse
 
Si nilisikia Tumesajili Gen Z wakutosha?Na Upande wa pili Ndio Una Wazee??Mbona imekua Kinyume Tena Ghafla mnoo
 
Yani kuna watu wanafiki mpk mende wanashangaa maana huwa wanawaona vyooni wanapokata gogo.....
Huyu Mukwala si kuna mtu hapa alimsifia kabla hajaja...halafu ana shida gani kwani...yani hii Simba isipoangalia itapelekeshwa mno na upepo wa nje...ishakua sasa mtu anaamka na ma hangover yake anasema fulani fukuza...
 
Ukiona hivyo kuna mchongo wa 10%
 
Pumnzika kidogo unywe maji umeandika kwa hasira sana 😁
 
Nafasi za Mukwala jana, Jobe angeondoka na hat trick.
Mukwala is worse
Sasa kwanini Yanga hawakumchukua Jobs kama ni mzuri mbona Simba walishamwacha?watu mnawaza kwakutumia ma...kali.o
 
Hakuna mchambuzi anayemchafua Ngoma,mechi zote mbili Simba iliyocheza kaonyesha kiwango duni kuliko wengine, mchezo wa mpira unaonekana hauchezwi gizani
 
Sasa kwanini Yanga hawakumchukua Jobs kama ni mzuri mbona Simba walishamwacha?watu mnawaza kwakutumia ma...kali.o
Kwani lazima kila mchezaji mzuri or not anayeachwa na simba aende yanga..?
Mbona unawaza bila logics..?
Punguza mihemko na matusi teenager
 
Kwani lazima kila mchezaji mzuri or not anayeachwa na simba aende yanga..?
Mbona unawaza bila logics..?
Punguza mihemko na matusi teenager
Jobe sio mchezaji mzuri,hilo haina hata haja ya kubishana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…