NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nilitazama mpira future walikua wakawaida sana na walikua wanafungika magoli mengi tu kwenye uwanja wa kwao.
Lakini nilishangaa kuona Singida fountain Gate kupigwa goli nne Kwa moja Tena Future walikua Tisa uwanjani baada ya kupata kadi nyekundu kipindi Cha pili.
Ikumbukwe viongozi wanakumbwa na tuhuma ya kuwapangia makocha kikosi Cha kucheza na makocha wawili wameondoka kwa kuKataa kitu Kama hicho.
Wa kulaumiwa hapa ni viongozi wanaopanga kikosi na kuleta ujuaji wakati hata danadana tano hawezi kupiga.
Kama kuwa kocha ni kitu rahisi nendeni na nyinyi mkasomee na siyo kuleta ujuaji kwenye ujuzi wa watu.